Msanii Diamond Platnumz kulipa kodi ya nyumba ya miezi 3 kwa familia 500 za hali ya chini

Tuchukulie ametumia utaratibu wa kupitia kwenye serikali za mitaa, ambapo kwa kushirikiana na watendaji wa mitaa mbalimbali ndani ya jiji la dar es salaam akafanikiwa kupata orodha ya wapangaji hao 500 kama ifuatavyo:

Huu ni mfano tu

Wanaolipa kodi kwa mwezi 50,000 wapo 100
Hii ina maana kwa mwezi mmoja atawalipia 5,000,000
Kwa miezi sita atawalipia 30,000,000

Wanaolipa kodi kwa mwezi 30,000 wapo 150
Hii ina maana kwa mwezi mmoja atawalipia 4,500,000
Kwa miezi sita atawalipia 27,000,000

Wanaolipa kodi kwa mwezi 20,000 wapo 250
Hii ina maana kwa mwezi mmoja atawalipia 5,000,000
Kwa miezi sita atawalipia 30,000,000

Hivyo jumla atakuwa amelipa 87,000,000
- Milioni themanini na saba za kitanzania.
Kutoa ni moyo si utajiri.
Yeye kaanza, am sure samatta atafuatia.

NB: Wenye nyumba watakaofaidika na zoezi hili wawe ni wale ambao wamejisajili TRA kuwa nyumba zao wanafanyia biashara ya kupangisha wapangaji. Kama hujasajili nyumba yako TRA waeendelea kuwakaba koo wapangaji wao tu hakuna namna, ukitii sheria bila shuruti ndio raha zake huja kwenye matukio kama haya sasa.
 
👇👇👇👇👇👇👇
Kumbe unajua hamna definition ya umasikini?Kila mtu ana defn kutoka na mtizamo wake.

Ila kwa yy mfano wa definition ya watu masikini anauona kupitia watu wa Manzese na Tandale na kwa uwezo wake ameamua kuwasaidia masikini wenzake kwani ndio jamii iliyo mkuza.

Kwa ww definition yako ya umasikini unauona kupitia watu wa Masaki na Obey wanao kaa ktk apartment za $3000,sio mbaya ukatafuta hata mmoja tu umlipie kodi ya miezi mitatu.
 
Yeye aliyejimwambafy ndio akawalipie,ukitaka kutoa misaada haitakiwi makamera kibao kuandika insta etc atoe kimya kimya mkuu!! mimi nasaidia indirect kipato kidogo nachopata nagawana na wenzangu kwa kuwapa kazi ndogo ndogo ambazo wanapata hela na inawezesha kusaidia familia zao!!
 
Kik za Kipimbi tulishamzoea huyu hata akitoa msahada wa kiberiti kwa jirani atatangaza, kuna watu wanatoa misaada kimya kimya..

Kuna watu wametoa msaada wa janga la Corona, bilioni 2 kwa waziri Mkuu kimya kimya bila matangazo..
Kama hawaja tangaza hizo Bilion 2 wewe ulijuaje????.....
 
Yeye aliyejimwambafy ndio akawalipie,ukitaka kutoa misaada haitakiwi makamera kibao kuandika insta etc atoe kimya kimya mkuu!! mimi nasaidia indirect kipato kidogo nachopata nagawana na wenzangu kwa kuwapa kazi ndogo ndogo ambazo wanapata hela na inawezesha kusaidia familia zao!!
Kwa hiyo kutoa msaada ni kujimwambafy?.manake yy sio wa kwanza kutoa msaada.

Kwa hiyo tatizo sio kuwa saidia masikini wenzake wa Tandale na Manzese na kuwaacha wa Obey na Masaki,tatizo sasa unasema kamera?

Lakini mbona kuna wasanii wengi tuu wakienda kutoa misaada wanaenda na makamera au yy Diamond ndio kakosea?
 
Yani Mboso na Rayvanny wamiliki V8 Diamond ashindwe kumiliki?
Hahaha kaka una roho mbaya au umeanza kuroga?
Tangu lini MBOSO akamiliki V8? ipi? Kama hujui kitu kaa kimya. Hairuhusiwi kuweka vitu hapa lkn jua tu Mboso anamiliki Prado iliyoupgraded pale tttrautoupgrade. Hizo gari nawezaje kumiliki SERIKALI WASIJUE? DIAMOND HAMILIKI HATA GARI 2 KUANZIA LEO JUA HIVYO.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yeye aliyejimwambafy ndio akawalipie,ukitaka kutoa misaada haitakiwi makamera kibao kuandika insta etc atoe kimya kimya mkuu!! mimi nasaidia indirect kipato kidogo nachopata nagawana na wenzangu kwa kuwapa kazi ndogo ndogo ambazo wanapata hela na inawezesha kusaidia familia zao!!
Kiongozi unataka Diamond aishi maisha unayoishi wewe Savimbi wa Jamii Forum?
Diamond ni "celebrity", hawezi kuishi kama unavyoishi wewe mtu wa kawaida.
Robert Greene kwenye kitabu chake cha 48 Laws of power, Law number 6 anakuambia "Court attention at all cost".
Kwahiyo usishangae kumuona Diamond "anajimwambafy" au kujitangaza kutoa msaada kama unavyosema, anatambua kwamba ili awe na "nguvu" ni lazima atumie juhudi binafsi kufanya watu wamfuatilie. Pia isikuumize, kila mtu ana haki ya kuchagua kuishi maisha anayopenda kuishi, maisha ya hapa duniani ni mafupi sana mkongwe.
 
Tangu lini MBOSO akamiliki V8? ipi? Kama hujui kitu kaa kimya. Hairuhusiwi kuweka vitu hapa lkn jua tu Mboso anamiliki Prado iliyoupgraded pale tttrautoupgrade. Hizo gari nawezaje kumiliki SERIKALI WASIJUE? DIAMOND HAMILIKI HATA GARI 2 KUANZIA LEO JUA HIVYO.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hii corona imalizike hivi vitoto virudi shule. Au wewe ni Sarah wa konde boy!?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tukiweka hapa data halisi unaweza kimbia uzi. DIAMOND HANA HELA ni show off hata magari anayotumia ni show off. Hana kama udhaniavyo. Ni mama tu mjini hapa. Anzia kampuni WASAFI MEDIA au hata yy mwenyewe. ACHENI STORY ZA VIJIWENI.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hayo ni makadirio ya mapato ya bwana Mondi huko youtube! Kuniaminisha kwamba dogo hana hela linazidi kuwa jambo gumu kadri siku zinavyoenda.
Screenshot_20200426-135733.png
 
Kama siyo kiki au kutoa tamko amelewa basi abarikiwe

♡♤Life belongs to all who struggle for it♤♡♧
Hata kama kiki au amelewa bado atakuwaamefanya jambo kubwa sana. Ameokoa wengi hadi wenye nyumba wanaopata mlo kupitia kodi/pango za nyumba zao.
 
Kwa hiyo kutoa msaada ni kujimwambafy?.manake yy sio wa kwanza kutoa msaada.

Kwa hiyo tatizo sio kuwa saidia masikini wenzake wa Tandale na Manzese na kuwaacha wa Obey na Masaki,tatizo sasa unasema kamera?

Lakini mbona kuna wasanii wengi tuu wakienda kutoa misaada wanaenda na makamera au yy Diamond ndio kakosea?
Kutoa misaada na mikamera ni kukosea,Mungu hapendi awe domo au msanii/mtu yeyote yule.
 
Kiongozi unataka Diamond aishi maisha unayoishi wewe Savimbi wa Jamii Forum?
Diamond ni "celebrity", hawezi kuishi kama unavyoishi wewe mtu wa kawaida.
Robert Greene kwenye kitabu chake cha 48 Laws of power, Law number 6 anakuambia "Court attention at all cost".
Kwahiyo usishangae kumuona Diamond "anajimwambafy" au kujitangaza kutoa msaada kama unavyosema, anatambua kwamba ili awe na "nguvu" ni lazima atumie juhudi binafsi kufanya watu wamfuatilie. Pia isikuumize, kila mtu ana haki ya kuchagua kuishi maisha anayopenda kuishi, maisha ya hapa duniani ni mafupi sana mkongwe.
Haijawai kuniumiza na haitokuja kuniumiza mkuu kwani DOMO akiwa bilionea au matonya kwangu haipunguzi wala haizidishi chochote kwenye account yangu.

Hapa tunatoa maoni tu kwamba kutoa msaada na kujimwambafy kidini haikubaliki.
 
Diamond haji mwambifayi anacho fanya nikuwa influential kwa matajiri wengine kuwa nao wachangie!!bila hamasa ya rostam azizi,azania group of company wasingetoa ,halafu dunia nzima watu wanajitangaza wakitoa msaada why diamond iwe nongwa?jack ma ni tajiri nambari moja china alitoa barakoa akajitangaza nini shida akifanya mond??tupunguze wivu wa kisenge dogo ameshatuzidi na ametusua hilo halina ubishi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom