Tuchukulie ametumia utaratibu wa kupitia kwenye serikali za mitaa, ambapo kwa kushirikiana na watendaji wa mitaa mbalimbali ndani ya jiji la dar es salaam akafanikiwa kupata orodha ya wapangaji hao 500 kama ifuatavyo:
Huu ni mfano tu
Wanaolipa kodi kwa mwezi 50,000 wapo 100
Hii ina maana kwa mwezi mmoja atawalipia 5,000,000
Kwa miezi sita atawalipia 30,000,000
Wanaolipa kodi kwa mwezi 30,000 wapo 150
Hii ina maana kwa mwezi mmoja atawalipia 4,500,000
Kwa miezi sita atawalipia 27,000,000
Wanaolipa kodi kwa mwezi 20,000 wapo 250

Hivyo jumla atakuwa amelipa 87,000,000 - Milioni themanini na saba za kitanzania.
Kutoa ni moyo si utajiri.
Yeye kaanza, am sure samatta atafuatia.
NB: Wenye nyumba watakaofaidika na zoezi hili wawe ni wale ambao wamejisajili TRA kuwa nyumba zao wanafanyia biashara ya kupangisha wapangaji. Kama hujasajili nyumba yako TRA waeendelea kuwakaba koo wapangaji wao tu hakuna namna, ukitii sheria bila shuruti ndio raha zake huja kwenye matukio kama haya sasa.