Msanii Idris Sultan afika Kituo cha Polisi Central, ahojiwa aenda, kukaguliwa nyumbani kwake. Aachiwa kwa dhamana

Utasikia wanasema wamemkuta na zigo la bange
Wameenda kumsachi kwake,hope hahusiki na unga maana hapo atakuwa kapatikana kweli kweli.Wanamtafutia kosa. Maana kupublish picha kunahusiana na kwenda kuchunguza nyumbani kwake ?
 
Bhasi watu wale walikua wanamtafuta mkosoa ufalme na siku ambayo alipopita kwa malingo mbele ya kasiri ikawa ndio sababu ya kumkamata
 
Awamu hii nchi inaongozwa na malaika mtukufu! Ni mwendo wa kusifia tu
 
Mbona Masanja hajaitwa au kwa sababu anamsifiaga, au amwite hivyo Kipanya ambae ni mtoto wa mjini sidhan kama KP angeenda. Kijana amekuja mjini juzi lakini amemkuta idris anafanya comed lakin amekua tishio kuliko hata wale wazee wazaramo wa ilala
Ukishaelewa maana ya "Masanja" hutakuwa na haja yakuuliza kwanini haendi ndani.

Mwache huyo dogo mropokaji na mpenda "mocking" mwenye asili ya kaskazini anyooshwe. Ndio mda wake huu! Alishazoea kuigiza na nguo za jela wacha akapewe chai.
 




Hahahhaahahhaahahhaha hilo gazeti km nalikumbuka hahahhaahahhaahahaha haya mzalendo ilikua na hiyo segment hahahahhaa!ma weee!
 
Bashite ana issues na watu design ya Idris na anawaita “watu wa hovyohovyo”. Sasa amepata chance ya kumharass atakavyo
 
Lakini Bashite usikute kaliwa demu wake na huyu jamaa ikawa anamsaka kwenye anga zake...
 
ataelezea vizuri uhususiano wake na GSM na zile milion 500 uhujumu uchumi huo
 
Yohana 18:36
[36]Yesu akajibu, Ufalme wangu sio wa ulimwengu huu. Kama ufalme wangu ungekuwa wa ulimwengu huu, watumishi wangu wangenipigania, nisije nikatiwa mikononi mwa Wayahudi. Lakini ufalme wangu sio wa hapa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…