Msanii kutoka Hong Kong, ndugu Jackie Chan apanga kutoacha urithi kwa watoto wake. Je, maamuzi haya magumu yanatuma ujumbe gani kwa wazazi wa Afrika?

Zingatia maoni ya mdau huyo
Acha kunilazimisha mawazo yangu. Wee jamaa vp? Kama unaona hoja haina maana si unaondoka tu. Kwani lazima uchangie mada zangu? Yeye kama anaona ni uongo aende zake atuache sisi tunaoona kuwa hii ni kweli.

Usinifanye nikakujibu vibaya bure.
 
Zingatia maoni ya mdau huyo sio kila unachotangaziwa ndivyo kilivyo open ur mind think about other side binafsi sikubal ni uongo
Siwezi kuzingatia. Azisha media zako basi ili tuwe tunakuja kusoma kisha tuachane na hizi BBC na CNN.
 
Endapo mtoto alikuomba umzae/azaliwe hata ukimuacha akiwa na miaka miwili lakini kama umemzaa pasi ya matakwa na utashi wake mtunze, mhudumie, mgharamie hadi umauti.

Zaa kwa sababu, usizae kwa sababu ulikuta watu wakizaa. Zaa kwa mpangilio, usizae kuionesha jamii kwamba unaouwezo wa kuzalisha au kuzaa.
Si kweli unatakiwa umtunze mpaka afikie miaka 18 and above, yaani aweze kujitegemea mwenyewe.

Sent from my TECNO L9 Plus using JamiiForums mobile app
 
Acha kunilazimisha mawazo yangu. Wee jamaa vp? Kama unaona hoja haina maana si unaondoka tu. Kwani lazima uchangie mada zangu? Yeye kama anaona ni uongo aende zake atuache sisi tunaoona kuwa hii ni kweli.

Usinifanye nikakujibu vibaya bure.
We jibu vibaya unavyotaka usihofu kabisa nimekwambia maana naona unaandika vitu kama upo Facebook mada za kitoto cjui ndo kutafuta umaarufu anyway endelea mjuba.
 
Endapo mtoto alikuomba umzae/azaliwe hata ukimuacha akiwa na miaka miwili lakini kama umemzaa pasi ya matakwa na utashi wake mtunze, mhudumie, mgharamie hadi umauti.

Zaa kwa sababu, usizae kwa sababu ulikuta watu wakizaa. Zaa kwa mpangilio, usizae kuionesha jamii kwamba unaouwezo wa kuzalisha au kuzaa.

Kabisa!

We borrow the world through our children and not the other way round!

Tunachagua kuzaa na sio Wanachagua kuzaliwa!!
 
We jibu vibaya unavyotaka usihofu kabisa nimekwambia maana naona unaandika vitu kama upo Facebook mada za kitoto cjui ndo kutafuta umaarufu anyway endelea mjuba.
Haters. Ulitaka kuandika wewe? Wivu tu
 
Acha kunilazimisha mawazo yangu. Wee jamaa vp? Kama unaona hoja haina maana si unaondoka tu. Kwani lazima uchangie mada zangu? Yeye kama anaona ni uongo aende zake atuache sisi tunaoona kuwa hii ni kweli.

Usinifanye nikakujibu vibaya bure.

Mmmh!! [emoji15]
 
Back
Top Bottom