Msanii kutoka Hong Kong, ndugu Jackie Chan apanga kutoacha urithi kwa watoto wake. Je, maamuzi haya magumu yanatuma ujumbe gani kwa wazazi wa Afrika?

Yani unakata comment ya mtu kiufupi kulingana na matakwa ya majibu yako?
Huwa ninapenda kumjibu mtu "exactly" kile alichoniuliza. Hata katika mazungumzo ya kawaida ya ana kwa ana ndio nilivyo?

Au kuna ubaya wowote kwa mimi kufanya hivyo?
 
Zingatia maoni ya mdau huyo sio kila unachotangaziwa ndivyo kilivyo open ur mind think about other side binafsi sikubal ni uongo
Punguza roho mbaya ya wivu. Jamaa anatupa habari motomoto wewe unamuingilia uhuru wake wa kutumia JF. Andika na wewe basi.
 
Jackie Chan kiboko
 
Ujumbe murua sana huu nita u-save kwaajili ya manufaa ya baadae
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…