Msanii kutoka Hong Kong, ndugu Jackie Chan apanga kutoacha urithi kwa watoto wake. Je, maamuzi haya magumu yanatuma ujumbe gani kwa wazazi wa Afrika?

Mm naungana na Jakchan naacha zero will Wanangu wanazitumia sasa hivi nikiwa nawab a wanavyozitumbua wanaotaka kwe da shule hayaa wanaotaka kianzisha biashara hayaaaa ILA ZERO WILL
 
A very interesting topic.

Jackie Chan apparently made this statement in 2011 and again in 2016. This decision also may have arose due to this son
Jaycee who was served six months in a Chinese prison for drug offenses.

Deeds of children as the grow up also raises such concerns for parents each day...
 
Hii nimeipenda kwani humjenga mtoto kutokuwa mvivu na kuongeza juhudi za utafutaji, malezi na elimu aliyompatia ni urithi tosha kabisa ,kingine amebahatika kutembelea nyota ya baba yake amshuru sana kwa hayo yote
 
Hata mimi nitawafanyia watoto wangu hivi hivi
 
Ni sahihi, alishavuka umri wa kuhudumiwa, 33 a hassle, kizuri kashapewa tahadhari, haitakuja kama surprise.
Kama alibweteka aamke!

Everyday is Saturday............................... 😎
 
Je, maamuzi haya magumu yanatuma ujumbe gani kwa wazazi wa Afrika?
 
SIO kila siku ni ijumaa
 
Ni sahihi, alishavuka umri wa kuhudumiwa, 33 a hassle, kizuri kashapewa tahadhari, haitakuja kama surprise.
Kama alibweteka aamke!

Everyday is Saturday............................... 😎
JPM mpaka 2025
 
Je, maamuzi haya magumu yanatuma ujumbe gani kwa wazazi wa Afrika?
Hakuna maamuzi magumu, kuna maamuzi sahihi...
Mitoto imesomeshwa kwa juhudi za wazazi, inatolewa mpaka mahari na wazazi, bado itatafutiwa ajira na wazazi, eti mzazi akifa inataka gawio ya mali.

Mie wakishamaliza kusoma sijali wamepata ajira au la, assets zozote napunguza nauza nakula raha.

Nabakiza 1-2, za kunilea uzeeni. Nikifa naandika will, wajinga wahedi wagombanie, assets ziwe za my favourite mjukuu chini ya uangalizi wa mahakama!

Everyday is Saturday.............................. 😎
JPM mpaka 2025
#Hashimu_Rungwe_2020...

Mkuu JPM ndiyo nani??

Everyday is Saturday............................. 😎
 
si kweli
 
Mm naungana na Jakchan naacha zero will Wanangu wanazitumia sasa hivi nikiwa nawab a wanavyozitumbua wanaotaka kwe da shule hayaa wanaotaka kianzisha biashara hayaaaa ILA ZERO WILL
Vyama vya siasa vivunje sheria wakulaumiwa awe Magufuli ! Magufuli anaonewa sana na upinzani sababu amezidi kuwadekeza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…