Msanii kutoka Hong Kong, ndugu Jackie Chan apanga kutoacha urithi kwa watoto wake. Je, maamuzi haya magumu yanatuma ujumbe gani kwa wazazi wa Afrika?

Sasa kwanini anaendelea kuuza supu kwenye kimgahawa chake uchwara huko honhkong, si azitumbue hizo pesa hadi ziishe? Then atakua amemuachia nothing mtu ambaye anajukumu la kuendeleza kizazi chake na legacy yake
 
Wapinzani wanokosa adabu wanapotaka kujilinganisha na Rais Magufuli. Huyu JP Magufuli ana uwezo mkubwa sana ujue?
 
Usiamini kila kitu unachokisoma kwenye mainstream media, hakuna Binadamu wa kawaida akawa katili kiasi hicho kwa damu yake mwenyewe labda kama ni psychopath, ...

Jackie chan nimewahi kumsikiliza anasema “huwa namshangaa mwanangu anadai shule za boarding ni tabu,huwa namwambia wakati wangu ndio ilikuwa tabu nyie sasa hivi hamna tabu”. hivo hii habari naweza kuipa asilimia 40 hivi
 
Sasa kwanini anaendelea kuuza supu kwenye kimgahawa chake uchwara huko honhkong, si azitumbue hizo pesa hadi ziishe? Then atakua amemuachia nothing mtu ambaye anajukumu la kuendeleza kizazi chake na legacy yake
Chama chini ya Rais Magufuli kipo busy kujenga Nchi ila vyama vingine vinashindana kuhutubia Facebook.
 
Jackie chan nimewahi kumsikiliza anasema “huwa namshangaa mwanangu anadai shule za boarding ni tabu,huwa namwambia wakati wangu ndio ilikuwa tabu nyie sasa hivi hamna tabu”. hivo hii habari naweza kuipa asilimia 40 hivi
Hata mimi pia niliwahi kuisikia hii habari.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…