Infantry Soldier
JF-Expert Member
- Feb 18, 2012
- 15,892
- 16,476
- Thread starter
- #101
Sawa boss. Kila mmoja aendelee kuamini anachokiona ni sahihi kwake.si kweli
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawa boss. Kila mmoja aendelee kuamini anachokiona ni sahihi kwake.si kweli
Hivi unajua kuwa JPM ni Rais bora africa kwa sasa?Sawa boss. Kila mmoja aendelee kuamini anachokiona ni sahihi kwake.
Wapinzani wanokosa adabu wanapotaka kujilinganisha na Rais Magufuli. Huyu JP Magufuli ana uwezo mkubwa sana ujue?Sasa kwanini anaendelea kuuza supu kwenye kimgahawa chake uchwara huko honhkong, si azitumbue hizo pesa hadi ziishe? Then atakua amemuachia nothing mtu ambaye anajukumu la kuendeleza kizazi chake na legacy yake
Usiamini kila kitu unachokisoma kwenye mainstream media, hakuna Binadamu wa kawaida akawa katili kiasi hicho kwa damu yake mwenyewe labda kama ni psychopath, ...
Chama chini ya Rais Magufuli kipo busy kujenga Nchi ila vyama vingine vinashindana kuhutubia Facebook.Sasa kwanini anaendelea kuuza supu kwenye kimgahawa chake uchwara huko honhkong, si azitumbue hizo pesa hadi ziishe? Then atakua amemuachia nothing mtu ambaye anajukumu la kuendeleza kizazi chake na legacy yake
Sawa baba Sulphur...Chama chini ya Rais Magufuli kipo busy kujenga Nchi
Hata mimi pia niliwahi kuisikia hii habari.Jackie chan nimewahi kumsikiliza anasema “huwa namshangaa mwanangu anadai shule za boarding ni tabu,huwa namwambia wakati wangu ndio ilikuwa tabu nyie sasa hivi hamna tabu”. hivo hii habari naweza kuipa asilimia 40 hivi
Vinasikitisha sana.vyama vingine vinashindana kuhutubia Facebook.
Poa poa mjedaSawa baba Sulphur...
Lissu anajifanya hawajui Watanzania, aibu atakayopata anaweza akakimbia Nchi.Sawa baba Sulphur...
Asante Rais Magufuli wa ushujaa wako na Mafisadi lazima yanune.Sawa boss. Kila mmoja aendelee kuamini anachokiona ni sahihi kwake.
Huyo ndiye Magufuli, anamwaga mapesa Wananchi tupate huduma bora.Sawa boss. Kila mmoja aendelee kuamini anachokiona ni sahihi kwake.
Magufuli anajenga stiglers gorge ambayo ilimshinda mkoloni.Sawa boss. Kila mmoja aendelee kuamini anachokiona ni sahihi kwake.
kuna watu wachache wanamtukana Rais Magufuli Dawa yao inachemka.Mkuu, it's a true story from a reliable source...
Membe unagombea Ubunge au Urais wa Jamhuri?Sawa boss. Kila mmoja aendelee kuamini anachokiona ni sahihi kwake.
Ubunge.Membe unagombea Ubunge au Urais wa Jamhuri?
Hahahahaaaaa kwanini mkuu?Angekuwa baba angu huyu uo ujinga asiongee mbele yangu kabisa
TLP wana ofisi ya hadhi kuliko chadema. Tatizo si ukosefu wa fedha bali vipaumbele.Ubunge.