Msanii Lina Sanga aporomoshewa matusi kwa kuanika picha za nusu utupu za ujauzito wake

Watoto wa digital kwenye ubora wa kipekee...

Huu ujinga ujinga wa kuiga vitu visivyo na maana unakera sana.
 
ivi what is maadili nyie mnaosemaga maadili××××××3 wadogo zenu, namabibi wanabakwa na kulawitiwa daily mbona hamuyasemi? uyu ni mtu mzima na maisha yake
 
huyu
huyu dada ni mpuuzi haifai...
kutukalia uchi ndio nini?
ngoja wazae mijusi.
mtu mjamzito lakini hajiheshimu hata ¼
 
sikuwahi kudhani kuna watu wanasapoti huu upuuzi.
ngoja muone nyuchi za watoto zenu ndipo mtaona aaah kumbe yule dada alikemea kwa maana
 
Ila akipiga Hamisa Mobeto au Zari wa Diamond mnakuja na midomo mirefu kuwasifu...

Wabongo kwa double standard hatujambo
 
huyu ni zaidi ya ujinga.
mdada mtu mzima amekomaa
lakini bado anafanya vitu vya ajabu ajabu..
sikuhizi mimba zimekua fashion inayotrend ... wanapata mimba ili wapige hayo mapicha ya uchi.
Labda alitoa sana so imekuwa ajabu

Kwa anaejua kaolewa huyu au
 
Mhurumieni jamani,maisha magumu mtaani na waoaji hakuna,asichanganyikiwe tu!
 
Tatizo kila wakiona kitu wanaiga anataka aonekane kama Beyonce. Wakati yeye ni mnyarukole na huo sio utamaduni wake yeye anaona ujiko kumbe ujinga tu.
 
Maisha yake uamuzi wake. Mbona za kina Beyonce mnalike na kufuatilia ila Linah inakua scandal smh
 
Anamuiga beyonce, mbelembele tuu hata utembembee uchi! Huku bongo tunakuona malaya tuu
 
Anaboa utadhani ye ndo wa kwanza kuzaa,atazaa hadi achoke ndo kila kitumbo atakuwa akikionyesha au alisimangwa hivo anawakata shobo,aache ushamba.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…