Msanii Nay wa Mitego ahojiwa na Polisi na kufunguliwa kesi ya Uchochezi

Mbona ni kibao muruwa kabisa na chenye maudhui ya kuwakumbusha walio kwenye Power.

Amenikosha sana pale kwenye ripoti ya CAG Kichere kudharauliwa
Ccm daima hawataki kukosolewa
 
Tusipokua makini masultani wa Zanzibar watarudi kututawala watanganyika. Na hii itakua kwa upuuzi wetu watanganyika wenyewe kwa kukamatana, kuhojiana na kufungana wenyewe kwa wenyewe kwa maslahi wakati mwingine ata wa watu ambao si watanganyika.
 
Kama Katiba itakuwa ni hii hii kama ilivyo sasa of course hata wao watafanya hivyo hivyo !!
Hata ikitengenezwa katiba nyingine, chama tawala huwa kinatabia ya kujijenga zaidi na kuwanyamazisha wote wanaokosoa. Hiyo hata wewe ungekuwa Rais lazma utengeneze mazingira ya kuendelea kusalia madarakani

Sent from my Infinix X665B using JamiiForums mobile app
 
Sa100 kanyweshwa kvant ya madaraka inampelekesha
 
Je jamii yetu haitakiwi kufikiri tena bali kusubiri kuwa watu hamnazo

Ney Wa Mitego aachiliwa kwa dhamana ya polisi

View: https://m.youtube.com/watch?v=_zYyCurieMgNey Wa Mitego akiwa kituoni Polisi imembidi kuwasomea mistari ya wimbo 'ulioukera' mamlaka waliowasilisha malalamiko Polisi ili waelewe kama msanii maneno yale ya ajira kukosekana, wizi wa mali za umma n.k ktk wimbo wake alimaanisha nini .

Mwisho apewa dhamana wakati mamlaka zinazohusika zikiendelea kutafakari
 
Your browser is not able to display this video.

Your browser is not able to display this video.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…