Msanii "Pasha" kwa sasa yuko wapi?

Hakika na ile sauti ya bibie ikichombeza ilikua nzuri sana..
 
1. Mb Dog (Inamana, Mapenzi kitu gani, Sagaplasha)
2. Pasha (Ni soo, Hidaya)
3. Dulayo (Naumia roho)
Muziki unaishi#
Mb Dog!!

Haya mapenzi ni kitu gani! Mbona nawaza mpaka nimechoka
MB Dog mimi nina jina, mashori wengi tu wananishoboka

Ninaye mpenda yeye hanipendi...daah babu! Kitambo sana sijui 2004 na hii!

Pasha!
Mapenzi unayonipa mi sijielewi ni soo! Mamaa!!
Mapenzi unayonipa mi sijielewi ni soo!!

Pasha (Hidaya)
Si vibaya
Kwa mtoto Hidaya

Dulayo naumia roho!!
Hii ngoma mistari imenitoka ila bonge la ngoma!
-------------
Umenikumbusha mbali sana!

Umenirudisha na mbali kipindi hicho 2008 navizia kipindi cha 106&Park cha Terrence na Rocsi Diaz.
 
Bibie aliuwa mule!
Halafu na cheka yake ile ya kimahaba!
Hakika kilikua kizazi bora sana cha muziki wa kizazi kipya..
Pamoja na kuchombeza kote kule lakini hakuna viashiria vyovyote vya matusi unaweza kusilikiza na wazazi mkafurahi pamoja..
 
"Ni miaka sita sasa na miezi kadhaa,

Niliyempenda mpaka sasa hajazaa,

Inanisikitisha inaniuma sana,

Mpaka sasa mpenzi hajazaa"
 
Mb dog bwana namkubali sana sijawahi ona kama yeye kwenye mziki wallah
 
Kuna ile ya Berry black - na wewe tu
Oyaaa๐Ÿฅฐ๐Ÿ‘๐Ÿ‘๐Ÿ‘
Walikuwa wanaitwa 2 berry kabla hawajasambaratika (berry white &black) producer alikuwa Shirko (kama kumbukumbu zangu zipo sawa huyu alikuwa mkenya)
 
Kuna ile ya Berry black - na wewe tu
Oyaaa๐Ÿฅฐ๐Ÿ‘๐Ÿ‘๐Ÿ‘
Kundi Lao lilikuja vunjika. Berry Whitenand Berry Black, walitisha sana enzi zao

Come to think about it, wazanzibar kweli kweli mwanaume unajiitqje Berry๐Ÿคฃ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ