Msanii "Pasha" kwa sasa yuko wapi?

Msanii "Pasha" kwa sasa yuko wapi?

Elewa baby
Ninachosema, wasije wakasema nakupiga...longolongo!

Ni kama chocolate
Ama vanilla
Ilivyo muhimu katika ice cream

Ni kama maji, ama chakula
Ulivyo muhimu maishani mwangu!

Mzani hauwezi kupima uzito wa penzi langu juu yako!!

Umenikumbusha mbali! Star TV miaka hiyo walikuwa wanapenda sana kuipiga.
Hakika na ile sauti ya bibie ikichombeza ilikua nzuri sana..
 
1. Mb Dog (Inamana, Mapenzi kitu gani, Sagaplasha)
2. Pasha (Ni soo, Hidaya)
3. Dulayo (Naumia roho)
Muziki unaishi#
Mb Dog!!

Haya mapenzi ni kitu gani! Mbona nawaza mpaka nimechoka
MB Dog mimi nina jina, mashori wengi tu wananishoboka

Ninaye mpenda yeye hanipendi...daah babu! Kitambo sana sijui 2004 na hii!

Pasha!
Mapenzi unayonipa mi sijielewi ni soo! Mamaa!!
Mapenzi unayonipa mi sijielewi ni soo!!

Pasha (Hidaya)
Si vibaya
Kwa mtoto Hidaya

Dulayo naumia roho!!
Hii ngoma mistari imenitoka ila bonge la ngoma!
-------------
Umenikumbusha mbali sana!

Umenirudisha na mbali kipindi hicho 2008 navizia kipindi cha 106&Park cha Terrence na Rocsi Diaz.
 
Bibie aliuwa mule!
Halafu na cheka yake ile ya kimahaba!
Hakika kilikua kizazi bora sana cha muziki wa kizazi kipya..
Pamoja na kuchombeza kote kule lakini hakuna viashiria vyovyote vya matusi unaweza kusilikiza na wazazi mkafurahi pamoja..
 
Hakika, na huyu voice wonder sijui alipotelea wapi? Nakumbuka ule nyimbo zake za "nimpende nani na ule wa nimekosa Mami" moja kati ya nyimbo zenye mashahiri safi sana.

Au kuna ile aliimba na Juma nature, sijui inaitwa hajazaa ile 😅😅😅... Talent zilikuwepo ila biashara ndio haikuwepo ila sasa talent hamna sana but biashara ipo.
"Ni miaka sita sasa na miezi kadhaa,

Niliyempenda mpaka sasa hajazaa,

Inanisikitisha inaniuma sana,

Mpaka sasa mpenzi hajazaa"
 
MB Dog ni msanii ambaye nakubali ngoma zake vibaya mno. Number one artist nyimbo zake zote zilikuw pin. Ina maana, Si ulinambia hizi hits they were before time. - MB Dawg man if you reading this just you know big respect for your work.

Kuna jamaa akitoa nyimbo Lisa by R Tony naikubaki sana ile ngoma. Ngoma nyingine ambayo ni all time for me ni H - Mbizzo - Mchumba. Mungu alaze roho yake mahala pema, hii ngoma nitazeeka nayo inshallah. .

Pasha ngoma zake one time nilikuw naimba zote. Dah miaka hiyo nyimbo ikitoka lazima ukariri
Mb dog bwana namkubali sana sijawahi ona kama yeye kwenye mziki wallah
 
Kuna ile ya Berry black - na wewe tu
Oyaaa🥰👐👐👐
Kundi Lao lilikuja vunjika. Berry Whitenand Berry Black, walitisha sana enzi zao

Come to think about it, wazanzibar kweli kweli mwanaume unajiitqje Berry🤣
 
Back
Top Bottom