MB Dog ni msanii ambaye nakubali ngoma zake vibaya mno. Number one artist nyimbo zake zote zilikuw pin. Ina maana, Si ulinambia hizi hits they were before time. - MB Dawg man if you reading this just you know big respect for your work.
Kuna jamaa akitoa nyimbo Lisa by R Tony naikubaki sana ile ngoma. Ngoma nyingine ambayo ni all time for me ni H - Mbizzo - Mchumba. Mungu alaze roho yake mahala pema, hii ngoma nitazeeka nayo inshallah. .
Pasha ngoma zake one time nilikuw naimba zote. Dah miaka hiyo nyimbo ikitoka lazima ukariri