😄 😄 😄 😄 Sasa support si hisani mtu anakufanyia. Kwani lini iliandikwa kuwa msaada ni lazima upewe?🤣Ruby anacholilia hapo ni kuwa kafanyishwa sana shoo za laki tano tano na kajitoa sana kwa Majizzo lakini Majizzo yeye anachompa kama return ni kumuomba mzigo, na alivyokaziwa mzigo akaamua kumfungia vioo na hamsapoti kazi zake, tukizungumzia sapoti tunamaanisha kazi zake kupigwa kwenye Radio na TV
Halina ubishi[emoji419]Ila yote ya yote wanawake wembamba wana gubu sana hahahaha
YaaniLakin sio lazima kupewa sapoti
🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 Ustaa na hela. Hivyo ni vitu ambavyo vinawachanganywa wanawake kwa 90%Pale kwa Majizzo, Lulu alikwisha piga Lock kitambo, hakuna mtu kuvamia kambi.... Mpaka anaenda Jela alihakikisha hakuna Haramia anayeingia kwa Majay na kuweka kambi ya moja kwa moja, mtoto yule ni Jasusi.
Mi ninachoshangaa ni kwa nini hawa mastaa wa kike wanazunguka kwa Wanaume wale wale... Mobetto kazaa na Majizzo na Diamond, Yani wanazungukana, mbona wanaume ni wengi sana.
Lakini so Ruge ameshakufa maana alikuwa anaangushiwa zigo la kila lawama.Vanessa Mdee alishawahi kulalamika kuwa wasanii wa kike ni ngumu mno kutoboa kutokana na vikwazo wanavyokutana navyo kwenye tasnia ya muziki. Imagine mtu kama Lina Sanga kuna yule binti anaitwa Pipi alikuwa na sauti nzuri sans lakini aliacha kuimba. Hata Angela wa Harmonize figisu ni nyingi kwa mabinti. Vanessa hataki tena kusikia habari ya muziki wa bongo na alikuwa na talent kubwa.
Watoto wa kike ukiwa kwenye michakato wanakuonaga boya tu.Majuto ni mjukuu... Uenda Ruby alishindwa kumshikilia majizo kwa sababu labda kwa kipindi hicho hakuona future yoyote kwa majizoo... Wakawake mnatabia moja, mtu akiwa hana future kwa wakati huo mnamuonaga fala tu, mambo yakitiki mnaanza kumpaparukia, unakuta Lulu yeye aliamua kuwa mvumilivu.
Alafu ukicheki hili povu la Lulu limetoka kipindi Majizzo ametoka kuzindua Studio mpya... Ina maana Ruby kuna ka Wivu kameanza kuingia, kuona dhahabu inang'aa baada ya yeye kuchengana nayo [emoji23]
😅Na akinenepa inakuwaje? Gubu linaisha?Halina ubishi[emoji419]
Shangazi kule sio haba, mipango ipo Alphard ya kutembelea weekend ipo mambo ni LG ni kuongeza bidii tu ya GYM na kupaka mkongo mambo wapendayo vijana wa mjini
Wakinenepa je inakuwaje?Ila yote ya yote wanawake wembamba wana gubu sana hahahaha
[emoji28]Na akinenepa inakuwaje? Gubu linaisha?
Mwanamke mwembamba mwenye gubu uwa hanenepi.Wakinenepa je inakuwaje?
Sio bongo. Thats a rule of nature.Haka kaRubby kenyewe kutwa kugombana na wamiliki wa Media.
Alianza kukorofishana na Ruge na sasa Majizo.
Ila napenda sana spirit yake ya kutonyenyekea pale anapoona kuna njama za kumlaghai na kumkandamiza.
Bahati mbaya sana Bongo, usipotoa kitu hupati kitu.
KumbeeeMwanamke mwembamba mwenye gubu uwa hanenepi.
🤣🤣🤣🤣 JomoniiiMama mtumishi kesho tunasali wapi shoga angu?? Alafu toka upewe pesa ya dub’s umenifungia vioo [emoji23][emoji23][emoji23]
Nataka mgawo wangu usizuge
Umemsahau na Rashid 😅😅Huyu hana tofauti na Q chief, ukikaa nae karibu lazima mtatibuana😁
Tenda wema uende zako Yaan mtu akusaidie kw a lazima jamaniYaani
Anavyoilazimisha hiyo sapoti[emoji23]
Ngoja nkrudi bongo ntaongea na Ruby tuone cha kufanya[emoji23][emoji23][emoji23]Msanii Ruby ambae siku ya Leo ameenda live Instagram ameonesha kuchukizwa na kutoa ya moyoni dhidi ya Boss wa EFM na ETV anayefahamika kama Fransic Siza a.k.a Majizzo au Majay.
Msanii huyo wa kizazi kipya ametoa kauli ya kutakwa kimapenzi na Boss huyo ambae kwa sasa ameoa mke "Elizabeth Michael".
Kitu ambacho kimeshangaza wengi kwa namna ambayo majizo amekuwa akionekana mbele za umma, kumbe nyuma ya pazia amekuwa akiwaomba rushwa ya ngono ili awapatie support.
Dakika 17 za Mapovu yote ya Rubby
View attachment 2750841