Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 70,785
- 186,690
😄
😄 😄 😄 😄 Sasa support si hisani mtu anakufanyia. Kwani lini iliandikwa kuwa msaada ni lazima upewe?🤣Ruby anacholilia hapo ni kuwa kafanyishwa sana shoo za laki tano tano na kajitoa sana kwa Majizzo lakini Majizzo yeye anachompa kama return ni kumuomba mzigo, na alivyokaziwa mzigo akaamua kumfungia vioo na hamsapoti kazi zake, tukizungumzia sapoti tunamaanisha kazi zake kupigwa kwenye Radio na TV