Hatuwa [emoji777]
Hatua [emoji736]
Hizo shule ulienda kusomea ujinga?
Ubaguzi ganiKwa ubaguzi wake lazima akione cha mtema kuni,[emoji125][emoji125]
Wanazo ila sio za malengo yao,nani hapend Samsung au I PhonezTwende mbele turudi nyuma.
Karne hii nani hana simu? Achana na wanafunzi and the like.
We binafsi Ushawahi meet mtu hana simu??
Nilisoma tu title.
We unadhani wote wanaishi Dar kama weweKuna watu bado hawana simu ebu acheni ushamba ukiwa nacho wewe usidhani kila mtu anaweza kuwanacho
Aiseee!!Majizzo kama angekua serious kumtaka Vee angembeba mchana kweupee, ila Majizzo alizama kwa Lulu na hao wadada kama walipitiwa na Majizzo waliamini wao ndio wangekua mama mijengo matokeo yake jamaa akakomaa na useless wife wake hadi leo.
vannesa alitaja sababu nyingi zilizomfanya kuacha mziki ila rushwa ya ngono ni sababu kubwa iliomfanya aache ,hata mwanamuziki diamond aliwahi kusema hata penda mtotowake wa kike asifanye muziki kwa sababu hizo [emoji848]kunatatizo hapo hata ruby anaweza akawa sahihi ila watz wengi wanamchukulia kama mkorofi.Kwa hiyo vanessa aliacha mziki kisa majizzo? Sidhani kama hii ni kweli maana still alikuwa na backup ya media kibao, clouds, wasafi hata EA.
Ila bro una madongo[emoji23][emoji23][emoji1787] Kujikubali sana kunaweza pelekea watu wakakushusha vyeo. Mimi sio Mungu ila demu hana huo uzuri wa kupapatikiwa.
Hii ni tabia ya wengi sana mjini, kuna thead moja nimewahi kuona humu ya Dada fulani aliyeambukuzwa VVU na Mwalimu wake ili amtafutie kazi taasisi fulani ya serikali na kweli alipata, kwa ajili hiyo tuseme rushwa ya ngono ni kubwa sana nchi hii, na hili la Ruby ni kwa vile hakumpenda tu.
yeye si katongozwa ni hiyari yake kukubali au kukataa sasa kakataa jamaa kamlia buyu yeye anaanza kuhusisha na media zake kama vipi afungue radio na TV yake.au anauchukulia poa uwekezaji wa jamaa kavuja jasho sasa nae avuevannesa alitaja sababu nyingi zilizomfanya kuacha mziki ila rushwa ya ngono ni sababu kubwa iliomfanya aache ,hata mwanamuziki diamond aliwahi kusema hata penda mtotowake wa kike asifanye muziki kwa sababu hizo [emoji848]kunatatizo hapo hata ruby anaweza akawa sahihi ila watz wengi wanamchukulia kama mkorofi.
Ila mi naona majizo ana nyota ya kutetewa..hili swala lingemkuta mtu mwingine angejuta walakhy[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ukisoma comments ndio utajua kweli tuko dunia ya tatu[emoji134][emoji134][emoji134]
Hahahaa..... Ila ukiwa sio boss!?Ukiwa boss ukamuomba mwanamke mzigo..anasema rushwa ya ngono...
Na cha ajabu wanawake ndio wako mstari wa mbele kumtetea!!Ila mi naona majizo ana nyota ya kutetewa..hili swala lingemkuta mtu mwingine angejuta walakhy[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Hakika umeongea ukweli halisi.Rushwa ya ngono imekuwa kitu cha kawaida nchini kwakuwa wanawake wengi wanaipenda. Mabinti wengi hawajiamini.
Wengi wanaamini hata kama wana sifa zote, ila miili yao ni sifa ya ziada. Pia kuna wanaoamini hata kama hawana sifa, sehemu zao za siri ni sifa tosha.
Niliwahi kusema humu, rushwa ya ngono haiwezi kupungua wala kuisha kwakuwa inafurahiwa na pande zote mbili.
Shangaa na weweNa cha ajabu wanawake ndio wako mstari wa mbele kumtetea!!
Seems tumeshaharibikiwa hadi kuna mambo tunaona ni sawa tu[emoji134][emoji134][emoji134]
Previous Vanessa Alisema rushwa ya ngono ni issue kubwa sana kwa industry . Na kuna report Majizzo was after her na aliamua kuacha mziki Kabisa . Currently ruby Anasema Tena . The same things . Same person yupo accused . Sasa Till when tutachukua hatua hata kumuoji ? Why ? What measures anachukua on his company?? Why just him ?! Watu wanamuangalia tu ?!!
kwanini linakuja kuwa tatizo kwa mtu kama yeye ma jizzo?ile tv na redio ni vyake lakini vinahudumia jamii na ruby kipaji ni chake lakini kinaifurahisha jamii hiyo hiyo je hana haki ya kumtongoza mwanamuziki?jibu ni anahaki swali linakuja akikataliwa anaweza akawana moyo wa kuendelea kumsaidia huyo aliemkatalia?kwa kawaida lazima atalipa kisasi je huoni tatizo kubwa ndo litaanzia hapo?yeye si katongozwa ni hiyari yake kukubali au kukataa sasa kakataa jamaa kamlia buyu yeye anaanza kuhusisha na media zake kama vipi afungue radio na TV yake.au anauchukulia poa uwekezaji wa jamaa kavuja jasho sasa nae avue