Msanii Ruby amlipua Majizzo: Rushwa ya Ngono na mambo faragha

Legends tukiliangalia hili tukio, tunachokiona wala si shambulio kwa Majizo, huyo anafanya kuzunguka tu. Hili shambulio amelilenga kwa kwa yule mke wa Majizo, huyo ndiyo ana bifu naye.
Inakuwaje watu mnashindwa kuona vitu obvious kama hivi? Mnakuwa kama hamjawahi kucheza draft bwana?
 
Are you kidding me? Unaleta janja ya ''nyani kula mahindi mbichi''? Kwenye mambo ya tuhuma na uhalifu, binadamu tungekuwa tukisema ''ndiyo'' kweli inaanisha ndiyo, na tukisema ''hapana'' pia inamaanisha hapana, dunia isingekuwa kama ilivyo sasa.
 
Mimi Binafsi imenishangaza kuona Boss ananyimwa mzigo. Siku zote tumekuwa tukiamini ukiwa na pesa. Unapatiwa Mzigo fresh, ila kwa Majizzo nimeona pesa si kila kitu. Kuna mabinti ambao bado wanajielewa
We umeamini?mbona ukisikiliza demu analalamika Majay hapokei simu zake?ana uwezo wa kumnyima majizo huyu?
 
Kwa hiyo hili shambulio ni la Elizabeth? uzuri mke wa Majizzo kakomaa sana akili kuliko umri wake,she can play this game bila kutetereka
 
Kwa hiyo hili shambulio ni la Elizabeth? uzuri mke wa Majizzo kakomaa sana akili kuliko umri wake,she can play this game bila kutetereka
Nimewahi kuona post zake kama mbili, aisee ni kakomavu kweli.
Mange katikisa watu, vigogo, mibuyu, visiki hadi vinyoya. Lakini siku alipojaribu kukagusa, Kalimfanya Mange ajione hana contents. Mange akawa mdogo.
 
Kumbe Majay ni mpuuzi kiasi hiki! Anataka kudinya, kunyandua na kugegeda mademu wote sisi tut0mba wapi? Mpuuzi mkubwa!
 
Nimewahi kuona post zake kama mbili, aisee ni kakomavu kweli.
Mange katikisa watu, vigogo, mibuyu, visiki hadi vinyoya. Lakini siku alipojaribu kukagusa, Kalimfanya Mange ajione hana content. Mange akawa mdogo.
🤣🤣🤣Yule dogo kapitia misukosuko mikubwa Angalia mdogo,hiyo imemkomaza sana akili,hiyo umefanya afanye mambo yake Kwa mahesabu sana,amekaa na Majizzo Karibu 4yrs hakuruhusu mimba maana angeruhusu tu kama baby mama wengine angeachwa,kambana jamaa mpaka kaoa,wanejaribu kumtisha mumewe anadate na na B12 ndio kwanza mume anapelekewa Maua ofisini,yaani huyu Ruby hajamtikisa Lizzy hata kidogo.....Kama Mange alisanda ye Ruby hawezi kitu
 
Anachokiongelea ruby kimeshazungumzwa na wasanii wengi japo wao huwa hawapo bold kutaja majina ya waliowataka. Ndio maana hata Lady jay dee alishakiri kuwa Ruby ni wakuombewa maana vita yake ni kali

Ila upande mwingine nae ajitafakari, si ajabu hata kampuni zinaogopa kumpa endorsements kwa sababu wanaogopa kama kitu kikienda wrong kiubinadamu, anaweza kuwaripua na kuharibu brands zao. Angejifunza si kila vita ni ya kupigana
 
Takukuru si wapo ameshindwa kumtega jamaa apige pesa ndefu? Watu hawajui kutumia fursa nyie
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…