Kilimbatzz
JF-Expert Member
- Feb 11, 2023
- 9,134
- 14,593
Hata miyeNilikuwa sijawahi mskia ndio namskia aisee
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata miyeNilikuwa sijawahi mskia ndio namskia aisee
🙌🙌🙌[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Kula chuma hiko bro
😂😂😂😂
Wewe mzee si umesoma na nyerere wewe [emoji1787][emoji1787]R.i.P Classmate....[emoji26]
Sio muda tu, hata akili hauna. Mtu mzima mwenye akili timamu hawezi kuja hadharani na kumdhihaki marehemu.Sina muda wa kujibishana au kutukanana na watu wajinga kama wewe. Hunijui sikujui. Kila mmoja hapa ana uhuru wa kusema anachotaka, frustration zako za maisha zisikusababishe kuvunjia heshima watu usiowajua. Kuwa mstaarabu. Kama nilivyosema mwanzo, sina muda wa kupoteza na watuu kama wewe, so kwa upande wangu haya maongezi na wewe yamefikia tamati sita respond lolote usemalo.
DuhHaitham alikuwa mvuta bangi hodari sana.
Yani anavuta bangi kupitiliza ,nahisi hata hizo Shisha alikuwa havuti sana kama alivyokuwa anavuta bangi.
Mwimbaji wa Bongofleva na mwanachama wa JamiiForums, Haitham Kim amefariki dunia hospitali ya Temeke alipokuwa anapatiwa matibabu. Meneja wake amethibitisha.
Hivi karibuni Wasanii na Wadau wengine walianzisha kampeni ya kusaidia kuchangisha pesa kwa ajili ya matibabu yake.
Bryson ambaye ni Mume wa Marehemu alisema hali ya Haitham ilibadilika ghafla siku saba zilizopita akisumbuliwa na upumuaji ambapo ilianza kama homa ya kawaida lakini baadaye akawa anakosa pumzi hadi kupelekea kuwekewa mashine na kuchomwa sindano za kila siku zilizogharimu shilingi laki 7 kwa siku.
🤣🤣Positively aliyavuta Sana,Npo namuenzi apa
SASA BANDUGU HAPA BANGI ZIMEINGIA VIPI..??Msamehe bure bangi Hizo
Prof alichangiwa zaidi ya 50m ya kwenda india au utakua ulikua paje hukujuaMatibabu ni zaidi ya Starehe mkuu, usiseme hivyo kabisa. Kumbuka kwenye Starehe unatumia wakati huo huo unaingiza. Unapopata maradhi huingizi kitu bali unatoa tu.
Hata wewe ukiumwa kufikia mwezi 1 tu maisha yako yanabadilika.
Tumemuona hapa Prof Jay, kama sio huruma ya Mama Samia ilikuwa anarudisha jezi mapema sana, alikosa pesa za matibabu ya uhakika na watu walichanga lkn mpka pale Rais alipotoa tangazo la kumgharamikia.
Ugonjwa sio starehe ndugu yangu. Usitukane watu wala kukashifu kisa amefariki na hakuwa na hela za matibabu, hadi anapatwa na umauti unajua alitumia kiasi gani kwa matibabu achilia mbali huduma zingine muhimu?
Tuache Dharau, sisi ni Binadamu tu. Pumzi yako isikufanye kuwaona waliotangulia mbele za haki kama wazembe.
Huyo marehem alikua classmate wa moyoni..😉Wewe mzee si umesoma na nyerere wewe [emoji1787][emoji1787]
Msiba unaendeleaje? Washazika?😂😂😂😂
Bange mbaya sana.SASA BANDUGU HAPA BANGI ZIMEINGIA VIPI..??