Tetesi: Msanii wa Bongo Movie, Batuli lamkuta jambo, augua ghafla na kukimbizwa hospitalini

Yani kuna uongo mwingine unatia hasira. Huyo mwanaume wa batuli aliemuhonga BMW sio mume wa yeyote! Alioa na mkewe akafariki miaka michache iliopita. Huyo dada anaewalipa page za umbea kumchafua batuli ni baby mama tu sio mke! Kazaa na huyo bwana mapacha. Anahangaika kwann batulia anapendwa na kuhongwa gari yeye yupo yupo tu zaidi ya matunzo ya watoto hakuna kingine anachopata. Anaeroga haendi kujitangaza social media. Yani umroge mtu ukaseme si ukichaa huo. Bwana hakutaki take Your L lea watoto acha kuchafua watu. Unajichoresha tu.

Sent From Galaxy S9
 
Mwanzo si alitangaza batuli ni mchawi kamroga huyo bwana leo imegeuka tena yeye ndo mchawi? Mfa maji haishi kutapatapa.

Sent From Galaxy S9
 
warumi Sawa. Mwambie huyo aliekulipa atupie picha ya cheti cha ndoa. Mama dangote aliweza kwanini yeye ashindwe? Aweke picha ya cheti tujue ni mke halali otherwise aendelee kulea watoto wake. Batuli is there to stay. Kodi analipiwa gari kapewa. Baby mama na yeye ni side ostrich vile vile alijua kuzaa ndo kuolewa[emoji23][emoji23][emoji23]

Sent From Galaxy S9
 
Anapatikana wapi namie anikamate mtoto anaonesha mashallah

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Kumbe analipiwa kodi, Mi nilijua kajengewa, ki gari chenyewe alichohongwa hakina hadhi, angehongwa hata v8 ...


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Kumbe analipiwa kodi, Mi nilijua kajengewa, ki gari chenyewe alichohongwa hakina hadhi, angehongwa hata v8 ... kaz kuhongwa laki mbili na ukimwi juu mxieew


Sent from my iPhone using JamiiForums
Post Cheti cha ndoa. Acha wivu. Hicho kigari mbona kinakutoa roho wewe hata baiskeli hujapewa. Tatizo nyota

Sent From Galaxy S9
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Mkuu, kwahiyo baharia alitegua mtego au ndio kilio tu
Anhaaa ndio naelewa kwann huyu bidada na huyo bakuli marafiki....

Ndege wanaofanana......
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…