Yudatade Edesi Shayo
JF-Expert Member
- Aug 2, 2016
- 2,903
- 4,334
Sana mzee pale calabash ndo kilikuwa kijiwe chao kikubwa ....bongo movie mond kaacha lulu tu na bahati yake alipata secured place ya majizo mond ametafuna aunty Ezekiel, kajala,uwoya,masogange,wolper,rose ndauka...baba acha kibas mtoto wa tandale amewakongorii sanaDuu kumbe Mwenye mkoa wake kapiga mpaka Masogange hili toto Maso ndio lilikuwa hatari.Ila bongo movie siku akitokea mtu katiri,ana hela,ana ngoma yaani anaweza akawaambukiza mademu wote wa bongo movies,wengi wanatamaa njaa kali,alafu wanapenda maisha ya gharama wakati mifukoni hawana kitu.
Sent using Jamii Forums mobile app