Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sanaa! Ni mtamu sana kusema kweli.Aisee lakini ana mzigooo
Uzuri upo machoni pa mtu mkuu binafsi namkubali kwamba yupo vizuri shepu lile, sura zuri kiaina...Uzuri wake ni upi hasa?! Au ni zile nyama zilizojaa bila mpangilio?
Swadakta mkuu akili ndo hanaBatuli ni mzuri wa asili, kabarikiwa kila kitu , sema akili tu ndo hana maskin
Sent from my iPhone using JamiiForums
Mkuu mimi nilimuona ametoka Mwanza amevaa skitight hivi na blouse moja aisee nilivurugwa hio siku...View attachment 1431150
Baada ya kuona hii picha sijapata ugumu wa kuamini maneno yako mkuu 🤣🤣🤣 wacha mafisi walogwe tu hamna namna.
Sasa kuna hiyo moja enzi za Wema na Mondi,kuna jamaa mmoja alikuwa anaitwa John Mangi alipiga hela TANAPA,akafungua grocery yake karibia na Tabata Shule,inafunguliwa kashusha Bongo Movies akina Kanumba,Aunt,Wema nk mwanzoni wahudumu wakawa kama bongo movie,jamaa alikuwa anatembea na maburungutu ya hela kwenye gari,bongo movie wamekula hela yake sana.Sana mzee pale calabash ndo kilikuwa kijiwe chao kikubwa ....bongo movie mond kaacha lulu tu na bahati yake alipata secured place ya majizo mond ametafuna aunty Ezekiel, kajala,uwoya,masogange,wolper,rose ndauka...baba acha kibas mtoto wa tandale amewakongorii sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Hata msami,lavalava...msami mpaka walitoa movieUwoya nasikia anatabia akikukubali ana kutongoza mwenyewe,ila unakuwa special kwa ajili ya kumuondolea nyege akikuchoka anakutupa,hawa akina Kala na Linex waliangukiwa na zali hilo,wakawa wanajifanya king'ang'anizi wakambiwa "hela mnayo" ikabidi wao wapole.
Nyalandu naye kawafumua aise daaah kuna hotel moja pale Arusha kama ingekuwa inaongea ingetoa ushuhuda!Sasa kuna hiyo moja enzi za Wema na Mondi,kuna jamaa mmoja alikuwa anaitwa John Mangi alipiga hela TANAPA,akafungua grocery yake karibia na Tabata Shule,inafunguliwa kashusha Bongo Movies akina Kanumba,Aunt,Wema nk mwanzoni wahudumu wakawa kama bongo movie,jamaa alikuwa anatembea na maburungutu ya hela kwenye gari,bongo movie wamekula hela yake sana.
Basi bwana Mondi akaambiwa demu wako Wema yupo Tabata na Kipopa,Mondi huyo na ndinga yake kufika pale,wakamwambia Wema hayupo yupo kwao,Kumbe yupo na John Mangi hotelini anajipigia,huyu jamaa nae kapiga sana Bongo movies.
Binamu warumi saidia kumjibu mume wa mtu hapa. Na yeye anataka kuibwa na Batuli[emoji16][emoji16][emoji16]
Pouwa mkuu ...
Tutajie hata huyo msanii mkubwa...
Khaaaaah kuroga lazimaaaaah, fursaaaa beki kukabaaahMademu wa bongo movie wanaroga balaa...Sengo Matilda alimseti jamaa yangu flani akawa kama fala, afu jamaa anajua kabisa katengenezwa kujitoa sasa ndio shida. Bongo movie watakuacha ukiishiwa ama akipata danga jipya litakalombadilishia maisha
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] binamu skuwez lol mweeeeeh, wee bit kiboko nakugawa bureeeee uwiiiiiiiiihNae asituchoshe, aibiwe ana pesa ya kumnunulia Iphone 11 pro ? Ana pesa ya kumpangishia mbezi beach ? Mxiew labda akaibiwe na ma Housegurl
Sent from my iPhone using JamiiForums
Mkuu mimi nilimuona ametoka Mwanza amevaa skitight hivi na blouse moja aisee nilivurugwa hio siku...
Sana mzee pale calabash ndo kilikuwa kijiwe chao kikubwa ....bongo movie mond kaacha lulu tu na bahati yake alipata secured place ya majizo mond ametafuna aunty Ezekiel, kajala,uwoya,masogange,wolper,rose ndauka...baba acha kibas mtoto wa tandale amewakongorii sana
Sent using Jamii Forums mobile app