Tetesi: Msanii wa Bongo Movie, Batuli lamkuta jambo, augua ghafla na kukimbizwa hospitalini

Tetesi: Msanii wa Bongo Movie, Batuli lamkuta jambo, augua ghafla na kukimbizwa hospitalini

Saivi hata sio mzuri kashazeeka mi hapa niko navutia picha ya movie aliyoigiza akiwa na marehem kanumba
 
Sana mzee pale calabash ndo kilikuwa kijiwe chao kikubwa ....bongo movie mond kaacha lulu tu na bahati yake alipata secured place ya majizo mond ametafuna aunty Ezekiel, kajala,uwoya,masogange,wolper,rose ndauka...baba acha kibas mtoto wa tandale amewakongorii sana

Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa kuna hiyo moja enzi za Wema na Mondi,kuna jamaa mmoja alikuwa anaitwa John Mangi alipiga hela TANAPA,akafungua grocery yake karibia na Tabata Shule,inafunguliwa kashusha Bongo Movies akina Kanumba,Aunt,Wema nk mwanzoni wahudumu wakawa kama bongo movie,jamaa alikuwa anatembea na maburungutu ya hela kwenye gari,bongo movie wamekula hela yake sana.

Basi bwana Mondi akaambiwa demu wako Wema yupo Tabata na Kipopa,Mondi huyo na ndinga yake kufika pale,wakamwambia Wema hayupo yupo kwao,Kumbe yupo na John Mangi hotelini anajipigia,huyu jamaa nae kapiga sana Bongo movies.
 
Uwoya nasikia anatabia akikukubali ana kutongoza mwenyewe,ila unakuwa special kwa ajili ya kumuondolea nyege akikuchoka anakutupa,hawa akina Kala na Linex waliangukiwa na zali hilo,wakawa wanajifanya king'ang'anizi wakambiwa "hela mnayo" ikabidi wao wapole.
Hata msami,lavalava...msami mpaka walitoa movie

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa kuna hiyo moja enzi za Wema na Mondi,kuna jamaa mmoja alikuwa anaitwa John Mangi alipiga hela TANAPA,akafungua grocery yake karibia na Tabata Shule,inafunguliwa kashusha Bongo Movies akina Kanumba,Aunt,Wema nk mwanzoni wahudumu wakawa kama bongo movie,jamaa alikuwa anatembea na maburungutu ya hela kwenye gari,bongo movie wamekula hela yake sana.

Basi bwana Mondi akaambiwa demu wako Wema yupo Tabata na Kipopa,Mondi huyo na ndinga yake kufika pale,wakamwambia Wema hayupo yupo kwao,Kumbe yupo na John Mangi hotelini anajipigia,huyu jamaa nae kapiga sana Bongo movies.
Nyalandu naye kawafumua aise daaah kuna hotel moja pale Arusha kama ingekuwa inaongea ingetoa ushuhuda!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nae asituchoshe, aibiwe ana pesa ya kumnunulia Iphone 11 pro ? Ana pesa ya kumpangishia mbezi beach ? Mxiew labda akaibiwe na ma Housegurl

Sent from my iPhone using JamiiForums
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] binamu skuwez lol mweeeeeh, wee bit kiboko nakugawa bureeeee uwiiiiiiiiih

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom