Tetesi: Msanii wa Bongo Movie, Batuli lamkuta jambo, augua ghafla na kukimbizwa hospitalini

Sana mzee pale calabash ndo kilikuwa kijiwe chao kikubwa ....bongo movie mond kaacha lulu tu na bahati yake alipata secured place ya majizo mond ametafuna aunty Ezekiel, kajala,uwoya,masogange,wolper,rose ndauka...baba acha kibas mtoto wa tandale amewakongorii sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 


Ni kwa sababu wana tamaa ya maisha ndiyo maana Mondi alikuwa anawakojolea kwa kuwakomoa. Cha kushangaza eti Hamisa Mobeto bado mpaka leo analilia kuolewa na Mondi ili awaonyeshe wenzake waliopitiwa na Mondi kuwa yeye kapendwa zaidi. Mademu wa kibongo bwana, njaa inawatesa sana. Angalia kina Wema, Aunty Ezekiel, Kajala, wanaishia kudanga tu huku wanaume wa maana wamewasusa.
 


Jamani mbona watu wanasema mwenye mkoa wake si lijali kamili.....eti naye anapakatwa mtaa wa pili. Kuna mwenye mkoa mwingine zaidi ya huyu tumjuwe?
 
We jamaa unajua kuponda kingese[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji1787][emoji122][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]haki ya Mungu we jamaa[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Leo ilikuwa siku mbaya but, nimecheka almanusura nife[emoji1787][emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uwoya nasikia anatabia akikukubali ana kutongoza mwenyewe,ila unakuwa special kwa ajili ya kumuondolea nyege akikuchoka anakutupa,hawa akina Kala na Linex waliangukiwa na zali hilo,wakawa wanajifanya king'ang'anizi wakambiwa "hela mnayo" ikabidi wao wapole.
 
[emoji28][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kwani anashinda akipiga makelele kama mamajusi wa mashariki.

Jamani isije tu ikawa Corona nyie mnasema karogwa.
Mtu mwenye corona anapigaje kelele kama mama jusi wa mashariki!
Ila batuli anamzigo khatari sana sheikh, hata mm nipo tayari aje aniibe akipona nitauza viwanja vya urithi poteleaa mbali.
 
Ngoja namimi nikuset uwe fala.
 
Mtu mwenye corona anapigaje kelele kama mama jusi wa mashariki!
Ila batuli anamzigo khatari sana sheikh, hata mm nipo tayari aje aniibe akipona nitauza viwanja vya urithi poteleaa mbali.

Aaaah lol


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Huyo mtu katili atajiongezea virus tu maana bongo movie ndio transformer ya gridi ya taifa. Noma sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…