Msanii wa Filamu "Adam Philip Kuambiana" afariki dunia

MTOTO WA KUKU amewahi kujitambulisha humu kwenye mjadala flani na ni muigizaji na director Nguli aliyesimamia mapinduzi ya filamu Bongo na amewatoa wasanii wengi akiwemo marehemu Kanumba.......

Ruttashobolwa kutumia ID feki ni kukupa uhuru kutoa mawazo yako ndio maana hata mawaziri humu wanatumia ID feki ukitoa Mama Tibaijuka anayetumia jina lake halisi.....

MTOTO WA KUKU ni yule mwenye jina la kibena lenye maana ya MWEUSI mzee wa kampuni ya film ya fist g...........e qu...........ty.ukiangalia vizuri hiyo picha ya waliobeba mwili wa marehemu yupo
 
Last edited by a moderator:

Attachments

  • 1400345033031.jpg
    1400345033031.jpg
    74.4 KB · Views: 383
Aiseee namuona Steve Mengele kwenye picha hapo.....anarudi utotoni.
 
MTOTO WA KUKU ni yule mwenye jina la kibena lenye maana ya MWEUSI mzee wa kampuni ya film ya fist g...........e qu...........ty.ukiangalia vizuri hiyo picha ya waliobeba mwili wa marehemu yupo

Anhaaa! kumbeeeeeee.
 
Last edited by a moderator:
MTOTO WA KUKU amewahi kujitambulisha humu kwenye mjadala flani na ni muigizaji na director Nguli aliyesimamia mapinduzi ya filamu Bongo na amewatoa wasanii wengi akiwemo marehemu Kanumba.......

Ruttashobolwa kutumia ID feki ni kukupa uhuru kutoa mawazo yako ndio maana hata mawaziri humu wanatumia ID feki ukitoa Mama Tibaijuka anayetumia jina lake halisi.....
Mkuu MTAZAMO nimesha mpata ni mzee wa game first quality.
Lakini sioni cha yeye kuficha.

Mkuu MTOTO WA KUKU mbona nilimsikia Steve anasema kuwa Marehemu kafariki kutokana na tumbo? Sasa mbona habari inasema ni ajali ya gari?
 
Nilikua napenda sauti yake RIP Adam jaman kina Wema watazabwa makofi na nani sasa
Mi ntahesabu watakaozimia msibaniiwq
kuna thread mmemsema sana mara mwizi,sasa imekuwa ulikuwa unapenda sauti yake!
 
Huyo steven nyerere naona Ngoma inazidi kumtafuna,navyomjua lazima awepo kwenye kamati ya mazishi,RIP Adam
 
kuna thread mmemsema sana mara mwizi,sasa imekuwa ulikuwa unapenda sauti yake!

yaani hiyo thread hata mie imenishangaza maana now wamegeuka ghafla wanaongelea kifo chake na mazuri yake, kichwa cha thread hata hakiendani na kinachoendelea now!!h bongo!!!
 
R.i.p adam kuambiana., kazi ya mungu haina makosa
 
MTOTO WA KUKU ni yule mwenye jina la kibena lenye maana ya MWEUSI mzee wa kampuni ya film ya fist g...........e qu...........ty.ukiangalia vizuri hiyo picha ya waliobeba mwili wa marehemu yupo

Hahaha.....name calling.....nina alergy na ban...
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom