Mamaya
JF-Expert Member
- Jul 4, 2011
- 5,067
- 4,434
MTOTO WA KUKU amewahi kujitambulisha humu kwenye mjadala flani na ni muigizaji na director Nguli aliyesimamia mapinduzi ya filamu Bongo na amewatoa wasanii wengi akiwemo marehemu Kanumba.......
Ruttashobolwa kutumia ID feki ni kukupa uhuru kutoa mawazo yako ndio maana hata mawaziri humu wanatumia ID feki ukitoa Mama Tibaijuka anayetumia jina lake halisi.....
MTOTO WA KUKU ni yule mwenye jina la kibena lenye maana ya MWEUSI mzee wa kampuni ya film ya fist g...........e qu...........ty.ukiangalia vizuri hiyo picha ya waliobeba mwili wa marehemu yupo
Last edited by a moderator: