King Kong III
JF-Expert Member
- Oct 15, 2010
- 56,205
- 79,515
Hip Hop imepata PIGO.
M.A.P Salu T
M.A.P Salu T
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nasikia alikuwa ni Shabiki mkubwa sana wa Yanga SC hivyo huenda mambo yakawa yameshatiki kwa Babu.
Simba SC Kesho mkipona sijui kwani nasikia tena kuna Mchezaji wao Kafiwa na Baba yake Mzazi.
Shikamooni Yanga SC na huyo Babu.
Kwanini mkuu, wengine sisi ni old skulNilijua nikiiweka humu watu wengi wasingemjua
We ng'ombe inatakiwa upelekwe milembe Dodoma maana kichwani sizani kama ubongo wako unafanya kazi vizuri..Nasikia alikuwa ni Shabiki mkubwa sana wa Yanga SC hivyo huenda mambo yakawa yameshatiki kwa Babu.
Simba SC Kesho mkipona sijui kwani nasikia tena kuna Mchezaji wao Kafiwa na Baba yake Mzazi.
Shikamooni Yanga SC na huyo Babu.
Siku moja nilienda Micassa lounge Pale ubungo kushudia freestyle battle. Nakumbuka kulikua na kipengele cha "michano" hapo emcee unapewa beat unaanza kuchana. Huyu jamaa alikiwasha Sana.Msanii mkongwe wa Hip Hop nchini, Salutaba Mwakimwagile maarufu kama Salu T amefariki dunia jijini Mbeya leo tarehe 15 Aprili 2023. Msanii huyo amefariki akiwa anaendelea kupewa matibabu katika Hospitali ya Rufaa ya Mbeya.
Akitoa taarifa ya awali, Msanii mwingine wa HipHop, Taikun Ally maarufu kama Mchizi Mox ameeleza kuwa jumanne tarehe 12 Aprili 2023, Salu T akiwa mkoani Mbeya katika harakati zake za maisha, alipata ajali ya gari iliyomsababishia majeruhi na maumivu ya mgongo. Imeelezwa kuwa hali ya Salu T ilikuwa mbaya na hivyo kupewa rufaa ya kwenda hospitali ya Taifa Muhimbili lakini hali yake haikuruhusu kusafiri na hivyo aliendelea kubaki hospitali ya Rufaa Mbeya mpaka umauti ulipomkuta.
Salu T amewahi kutamba na ngoma kama Chunga Sana aliomshirikisha msanii AY (2006) na kutayarishwa na Producer Lindu.
na ngoma nyingine nyingi, ikiwa ni pamoja na album iitwayo HAZINA.
Mchizi Mox ameeleza kuwa msiba wa Salu T upo nyumbani kwao marehemu mitaa ya Round about ya Mbuyuni, Kinyerezi Dar es Salaam na mazishi yanatajiwa kufanyika Jumatatu tarehe 17 Aprili 2023 jijini Dar es Salaam.
Pole kwa familia ya Salu T na wanaHipHop wote.
Mungu ailaze pema roho ya Salu T.
View attachment 2588702View attachment 2588703
View attachment 2588709
Time for hip hopers to turn to God, peace, deucesR..I.P Ninja.
Mshikaji wakati anatoka alikimbizana na Mansu Lii
oya huyu mwamba kama nyosso Mwamba wa OYSTERBAY au nimefanisha?
Sijui ni kwanini Mimi, Wewe na Wengine tunamchukia kweli hapa JamiiForums ila Kutwa hatuachi Kumfuatilia, Kumjadili na Kumpaisha Kiumaarufu bila ya Sisi kujua.Watch your back young man! Wenye Jamii Forums yao wakikuotea na huku, sijui utakimbilia wapi tena.