hata mimi namshangaa.....kaanza kupaniki hana maana kabisa.mzee badala ya kujibu maswali eti anatusomea tu katiba.
du kufa tena!:twitch:Hivi msekwa hajafa tu? bado anafanya ufisadi wake?:twitch:
Mzee ana jazba na waulizaji nao wana jazba...leo kazi ipo...msekwa anafanya kupoteza muda ili kupunguza maswali.....