Bwana Utam
JF-Expert Member
- Feb 15, 2016
- 19,559
- 36,514
Hapa wamepunguza idadi ujue wamefyekwa zaidi ya kumi tuliwaonya wazayuni hawakusikia sasa acha waendelee kufa suala la kuikimbia Ghaza nisuala la muda tuuuu ⚡🇵🇸 The IDF announced the deaths of 4 additional soldiers in battles north of the Gaza Strip.Mchakato wa kuwapata/kuwakomboa mateka bado unaendelea na HAMAS iko ICU, na mwamba ana-deal perpendicularly na mzee wa maroketi a.k.a Hezbollah.
Kweli walijiandaa ndio maana juko wanakufa wanawake na watoto tu.Hapa lnabidi mtambue kuwa HIzbullah walijiandaa kwa vita kwa muda mrefu kivifaa na kisaikologia wakitarajia chochote kinaweza kutokea aidha kufa au kuishi ! Mayahudi hawakujiandaa kisaikologia na wanakiogopa kifo ! Hivo si ajabu myahudi akaomba poooo ! Tusubiri muda utanena na ukizingatia kuwa Hizbullah yuko tayari kufa hajali lakini kama nilivosema mwanzo myahudi anaogopa kifo balaaa !
Kuna wanashabikia vita na sisi tunashabikia palestina kupata haki zao pia kuna mauaji ya hizbullah na hamas na kuna mauaji ya raia hayo unayoyaona aljazeera kwa 90 asilimia ni raia kama hamas na hizbullah wangekua wanakufa kwa kiasi unachoona aljazeera kuzingekua na vita muda huu na kusingekua na mateka anaeshikiliwa GhazaKuna tofauti kubwa sana kati ya hezbollah wa Jamiiforums na wale wa Aljazeera, ukiangalia Aljazeera ambako unapata uhalisia wa matukio yanayotokea utaona jinsi watu wabavyopoteza maisha sababu ya hizi vita hasa lebanon na Gaza,
Jamani vita sio vya kushabikia, Yaani umekula ugali wako tembele afu unashabikia mauji ya binadamu wengine, hapana tuwe na huruma kiukweli.
LGBTq bana kwahio unaamini israhell wanaweza ishinda hizbullahWafuasi wa Mud bhana kwahiyo mnaamin kwamba Hezbollah wanawaeza ishinda Israel??
Maafa walikuonyeshaAah wapi,kiasi cha propaganda cha ndege mia moja halafu hakuna maafa!?
Bikra maria hawezi kuwa kwenye hiyo pepo yenu ya ngano 24/7Ataanza na bikra Maria.
hajawafahamu bado, hata boss wake Hassan Nasraah alikuwa na kiburi zaidi yake, lakini sasaivi keshaoza.Ujumbe ndio huo, msemaji wa Hezbullah anasema Israel hawezi kushinda vita kwa ndege, au kuvunja majumba na kuwauwa watoto au wanawake. Vita huwezi shinda bila ground force, na hicho kitu Israel hana. Anasema watakumbuka ujumbe wa Nasurlah Israel yupo katika ndoto, jeshi lake ni dhaifu kuliko nyumba ya baibui
Anawambia Waisrael wajiandae kuna miji mingi karibuni mtabidi muondoke siku sio nyingi. Hivi kuna dharau kama hio, si bora tu Israel asema nimeshindwa vita nioneni huruma 😄
View: https://youtu.be/56N6uuguVNs?si=IaKMYzXPTlGh6bUN
Hakuna Muislamu anae abudu kiongozi.Bikra maria hawezi kuwa kwenye hiyo pepo yenu ya ngano 24/7
Kule wamo hao viongozi wenu mnaowaabudu
Always The reported numbers refer to those "corpses found, identified and counted or gathered " . So the figure may increase at any time depending on the Incoming reports from the field.Hapa wamepunguza idadi ujue wamefyekwa zaidi ya kumi tuliwaonya wazayuni hawakusikia sasa acha waendelee kufa suala la kuikimbia Ghaza nisuala la muda tuuuu ⚡🇵🇸 The IDF announced the deaths of 4 additional soldiers in battles north of the Gaza Strip.
@medmannews
Israel anga lake Jeupe vitu vinatambaa sio THAAD au Irone dome inawasaidia 🤣hajawafahamu bado, hata boss wake Hassan Nasraah alikuwa na kiburi zaidi yake, lakini sasaivi keshaoza.
kuambia wewe?Kwa hio Gallant na Chief of Staff wao pia waongo, wamesema Shetanyahu anatulazimisha tupigane vita, sio kwamba jeshi la Israel ni dhaifu. Lakini kwa Hezbullah lazima tukiri Israel hatuwezi kumshinda Hezbullah jeshi lake ni superior kama alivyo shindwa Ehud Olmert mwaka 2006, na Nyau atashindwa tu.
Ila bado mapambano yanaendelea israhell ataendelea kupelekewa moto tu hata kama Naim Qassem nae atauwawahajawafahamu bado, hata boss wake Hassan Nasraah alikuwa na kiburi zaidi yake, lakini sasaivi keshaoza.
We hujaona alicho ongea, hivi upo kwenye kijiji cha Magagula, mtanisamehe watani wangu Wagoni bado hata mtandao unawapiga chenga 😄Ali
kuambia wewe?
Zililetwa ripoti humu hadi za BBC zikionesha satellite images wenyewe wakadiriki kusema satellite images hazitoi significant proof ya kuonesha uharibifu.Maafa walikuonyesha
Naona umeanza vioja kama kawaida mukibananishwaZililetwa ripoti humu hadi za BBC zikionesha satellite images wenyewe wakadiriki kusema satellite images hazitoi significant proof ya kuonesha uharibifu.