Kujifariji ni jambo jema kwake aliyeishiwa mbinu.
Hezbollah wanaoamini kuwa Wayahudi hawatakiwi kuwepo Duniani, bali kuangamizwa wapotee, kama wangekuwa na uwezo huo unaosema, wangekuwa waliishautumia. Wanachofanya Hezbollah, ndipo uwezo wao ulipoishia.
Haya makundi ya kigaidi wakati wote yamekuwa yanawadanganya wapalestina kuwa yatawamaliza wayahudi wote, na wapalestina watamiliki ardhi yote, na baadhi yao, kwa ujinga wao, wanawaamini.
Hezbollah hawana uwezo wa kushinda vita na Israel, ila wanaweza kuharibu amani ya Israel., siyo zaidi ya hapo.
Tuwaombee wapalestina waijiwe na hekima, waachane na haya makundi ya kigaidi, wafanye maelewano na Israel ili wote waishi kwa amani, wakijua kuwa maadui wao wakubwa ni haya makundi ya kigaidi. Makundi haya ya kigaidi ni hatari kwa amani ya Mashariki ya kati nzima, ndiyo maana hakuna nchi inayoyataka zaidi ya mfadhili wa ugaidi, Iran.