Danny greeny
JF-Expert Member
- Feb 6, 2014
- 3,856
- 1,648
Wewe uliyeona ukweli au kujua jeshi la tanzania linachezewa umechukua hatua gani?Suala siyo kumshitaki, suala hapa ni uzumbukuku wako usiotaka kuuona ukweli. Jeshi la Wananchi wa Tanzania haliwezi kuchezewa kwa namna linavyoanza kuchezewa na viongozi muflisi wa Chama cha Mapinduzi. Ni lini askari huyu alistaafu na kuchukua kadi ya ccm?
Ungeshirikisha ubongo wako na ungejua jibu la swali ulilouliza hapo kwa kufanya udadisi sidhani kama ungekuwa unapost huu utumbo humu ndani.