StraTon MemPhis GhaZar
JF-Expert Member
- Nov 10, 2016
- 592
- 387
mambo zingine inabid sheria au kanuni zivunjwe kidogo kwa maslahi ya taifa .... hakuna tatizo la msingi ni kufanya kazi tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
We naona hukusoma Maelezo ya mtoa mada na Bahati nzuri ametoa hata vifungu vya katiba vinavyokataza hiyo kitu.sasa kama wewe unasema amefwata katiba weka vifungu tuvione vinasemaje kuhusu majeshiUna ushahidi gani kama hajafata katiba? Hizi nadharia hizi na hisia zenu za kufikirika fikirika ndio zinawatia matatizoni na kupoteza uhai wa chama chenu.
Mleta mada amekosea kunakili kifungu kidogo cha (3) na hivyo kupotosha maana nzima iliyokusudiwa na Katiba. "Itakuwa ni marufuku kwa mwanajeshi yoyote kujiunga na chama chochote cha siasa,' isipokuwa' tu atakuwa na haki ya kupiga kura iliyotajwa katika ibara ya 5 ya Katiba hii"NI UKIUKWAJI WA KATIBA AU MAJINA YAMEFANANA KATI YA MSEMAJI WA JWTZ NA HUYU MTEULE WA NEC YA CCM?
JPM JITOKEZE KUUELEZEA UMMA KUHUSU UTATA HUU.
Msemaji wa JWTZ ni Kanali Ngemela Lubinga.
Katibu Mteule wa NEC ya CCM Siasa na Uhusiano wa Kimataifa ni Kanali Ngemela Eslom Lubinga.
Katiba ya Jamhuri 1977 inasema :-
SURA YA TISA
MAJESHI YA ULINZI
Ibara ya 147.
Ibara ndogo ya (3),
Itakuwa ni marufuku kwa mwanajeshi yeyote kujiunga na chama chohote cha siasa, isipokuwa tu kama atakuwa na haki ya kupiga kura iliyotajwa katika ibara ya 5 ya Katiba hii.
Ibara ndogo ya (4),
Kwa madhumuni ya ibara hii, "mwanajeshi" maana yake ni askari aliyeajiriwa kwa masharti ya muda au ya kudumu katika Jeshi la Ulinzi, Jeshi la Polisi, Jeshi la Magereza au Jeshi la Kujenga Taifa.
----------
Acha uzumbukuku wewe. Kuwa Amiri Jeshi Mkuu hakumpi haki ya kufanya kinyume cha madili ya kitamaduni na misingi ya Kikatiba.Yuko sahihi,kwan alishastaafu na hata angekuwa bado rais ndio amili jeshi mkuu ana mamlaka
ama bwana Yule aliacha lini chama kile.na kuwa mgombea wa chama kile[emoji108] ?Hoja si uteuzi wake tu,alianza lini kuwa mwanachama wa Chama cha mapinduzi huku akiwa mwanajeshi?
Ndiyo maana naandika humu ili wakiwa na uelewa walau kidogo uliobaki (maana wamelewa chakari mvinyo wa madaraka) basi walione jambo hili kwamba si adili kiutawala kutenda wanayotenda katika nchi ya kidemokrasia.Wewe uliyeona ukweli au kujua jeshi la tanzania linachezewa umechukua hatua gani?
Ungeshirikisha ubongo wako na ungejua jibu la swali ulilouliza hapo kwa kufanya udadisi sidhani kama ungekuwa unapost huu utumbo humu ndani.
Utakuwa umevurugwa wewe!!!amiri jeshi mkuu ni mwenyekiti wa chama cha siasa afu bado unakomalia vitu gan braza.... jifunze kumvesha mtu uhusika kutegemeana na majukumu kwa wakati uo... hata rais ni baba wa fulan... mume wa fulani na ni mnyonge kwa fulani..... ingawaje ni mkuu wa nchi:: anavaa uhusika tofauti kutegemeana na jukumu.. nyakat na mazingira
Wwe ndo hujui taratibu sasa nikueleze pamoja na ujinga wako!!ukiacha sheria na katiba na nini sijui;rais ana mamlaka ambayo amepewa kikatiba kufanya unayoyaona!tatizo watz wengi hatujui sheria na elimu imetupita kushoto!isome katiba,mamlaka ya rais halafu ndo uje unitolee povu lako;Ndo maana alimtoa chagonja akambadilisha jeshi na kumpeleka fire,alimtoa mlowola polisi akampeleka takukuru,na hao wote walikuwa wako kazn halaf bado unahoji anakiuka tartibu zipi??Acha uzumbukuku wewe. Kuwa Amiri Jeshi Mkuu hakumpi haki ya kufanya kinyume cha madili ya kitamaduni na misingi ya Kikatiba.
utaingia street.mkuu kukipinga.......chama kile?thubutunina harufu ya damu kutapakaa 2020 kwani kijani hawatakubali kushindwa, na zaidi itabidi njugu zisambazwe kwa raia wasio na hatia ili tu wabaki madarakani, tuandae makaburi, kwanza watapoteza pesa nyingi sana kuliko walizopoteza 2015, na watakuwa wako juu ya sheria, kama walinzi wetu nao wanaingizwa kwenye siasa, mark my words
is.lawWhat is a rule of law?
Hii ni nchi ya kidemokrasia. Kwanza ni lazima tuonye kwa maandiko yetu. Kisha tuchukue hatua kwenye sanduku la kura. Jeshi la watanzania wasiotaka upuuzi huu unaofanywa linazidi kujijenga. Mfano mzuri ni uchaguzi uliopita ambao kwa hakika ccm ilibaki inisimama kwa mguu mmoja wa vyombo vya dola. Ndiyo maana inafanya haya.Ni hivi hakuna anayepuuzia masuala ya katiba. Hao walioona kuwa katiba imevunjwa mimi nimewauliza then what? Miaka yote kilio ni kile kile. Uzi ukishafika page ya 8 au 10 basi inaishia hapo. Kama mmeona ni kosa then nini kinafuatia. Au mkishapost humu watu wakawatukana hao CCM basi kifungu cha sheria kilichovunjwa kitanyooka.
NI UKIUKWAJI WA KATIBA AU MAJINA YAMEFANANA KATI YA MSEMAJI WA JWTZ NA HUYU MTEULE WA NEC YA CCM?
JPM JITOKEZE KUUELEZEA UMMA KUHUSU UTATA HUU.
Msemaji wa JWTZ ni Kanali Ngemela Lubinga.
Katibu Mteule wa NEC ya CCM Siasa na Uhusiano wa Kimataifa ni Kanali Ngemela Eslom Lubinga.
Katiba ya Jamhuri 1977 inasema :-
SURA YA TISA
MAJESHI YA ULINZI
Ibara ya 147.
Ibara ndogo ya (3),
Itakuwa ni marufuku kwa mwanajeshi yeyote kujiunga na chama chohote cha siasa, isipokuwa tu kama atakuwa na haki ya kupiga kura iliyotajwa katika ibara ya 5 ya Katiba hii.
Ibara ndogo ya (4),
Kwa madhumuni ya ibara hii, "mwanajeshi" maana yake ni askari aliyeajiriwa kwa masharti ya muda au ya kudumu katika Jeshi la Ulinzi, Jeshi la Polisi, Jeshi la Magereza au Jeshi la Kujenga Taifa.
----------
Ya kaisari mpe kaisariNI UKIUKWAJI WA KATIBA AU MAJINA YAMEFANANA KATI YA MSEMAJI WA JWTZ NA HUYU MTEULE WA NEC YA CCM?
JPM JITOKEZE KUUELEZEA UMMA KUHUSU UTATA HUU.
Msemaji wa JWTZ ni Kanali Ngemela Lubinga.
Katibu Mteule wa NEC ya CCM Siasa na Uhusiano wa Kimataifa ni Kanali Ngemela Eslom Lubinga.
Katiba ya Jamhuri 1977 inasema :-
SURA YA TISA
MAJESHI YA ULINZI
Ibara ya 147.
Ibara ndogo ya (3),
Itakuwa ni marufuku kwa mwanajeshi yeyote kujiunga na chama chohote cha siasa, isipokuwa tu kama atakuwa na haki ya kupiga kura iliyotajwa katika ibara ya 5 ya Katiba hii.
Ibara ndogo ya (4),
Kwa madhumuni ya ibara hii, "mwanajeshi" maana yake ni askari aliyeajiriwa kwa masharti ya muda au ya kudumu katika Jeshi la Ulinzi, Jeshi la Polisi, Jeshi la Magereza au Jeshi la Kujenga Taifa.
----------
Ukamuulize na kinana alifikaje ccm wkt alikuwa mwanajeshi''...Nape alisema, wapili ni Kanali Ngemela Eslom Lubinga, kuwa Katibu NEC Siasa na Uhusiano wa Kimataifa...''
Hapa mimi sijaelewa mteule ni mwanajeshi cheo cha kanali inakuwaje apewe dhamana ya kukiongozana chama wakati tunajua hawa waajiriwa wa wananchi hawatakiwi wawe wanachama wa chama cha kisiasa