Danny greeny
JF-Expert Member
- Feb 6, 2014
- 3,856
- 1,648
Wewe uliyeona ukweli au kujua jeshi la tanzania linachezewa umechukua hatua gani?Suala siyo kumshitaki, suala hapa ni uzumbukuku wako usiotaka kuuona ukweli. Jeshi la Wananchi wa Tanzania haliwezi kuchezewa kwa namna linavyoanza kuchezewa na viongozi muflisi wa Chama cha Mapinduzi. Ni lini askari huyu alistaafu na kuchukua kadi ya ccm?
huyo jamaa sijui vipi,anaanzisha hoja tofauti,matumbo yatatuua jamaniHaina uhusiano, na kadri unavyolazimisha jambo hili katika mjadala huu unazidi tu kujifunua wewe ni mtu wa namna gani! Hoja iliyoko mbele ni muhimu hata kwa familia yako; kuna siku utaamini ukweli huu.
Huo ndio upumbavu wenyewe. Lowasa hakuwa mwanajeshi alikuwa mwanasiasa na raia. Kikatiba hakuwa na kizuizi kujiunga na Chama chochote na kupokelewa kisha kupata haki zote za uanachama. Mwanajeshi huyu Katiba haimruhusu kuingizwa kwenye siasa hadi atangaze wazi kujizulu kwake jeshini. Kuendesha nchi bila kufuata katiba na kuwaona watu wote ni majuha isipokuwa ninyi ni janga!!!!Siku unayoteuliwa unaacha jeshi huwi mwanajeshi na unashika madaraka siku hiyo hiyo kama ambavyo lowasa alivyofanya.Siku alipoteuliwa na CHADEMA kuwa mgombea siku hiyo hiyo aliacha CCM na kuwa mgombea uraisi
MkuuSiku unayoteuliwa unaacha jeshi huwi mwanajeshi na unashika madaraka siku hiyo hiyo kama ambavyo lowasa alivyofanya.Siku alipoteuliwa na CHADEMA kuwa mgombea siku hiyo hiyo aliacha CCM na kuwa mgombea uraisi
Acha uwongo wa kijinga, alistafu lini! Unataka kutufanya kama hatumjui kanali huyu na jinsi alivyopitaAlishastaafu muda akawa anafanya kwa mkataba. Na mkataba unasitishwa muda wowote. Ikiwa Lowasa aliacha CCM leo na kesho yake akapewa kadi na kugombea uraisi hamuoni ni ajabu bali hili la mstaafu kupewa majukumu mengine povu linawatoka
Alipewa card mapema, tulishaisoma number yake mapema, kutokana na msimamo wake,tulijua ccm hapiti ila kwa wananchi anapitaLowasa walipomchukua CHADEMA walimjua siku nyingi? Mbona aliingia tu na kupewa ugombea uraisi wakati hajawahi kuwa kiongozi wa tawi la chadema
Ktika mkutano ule uliona MTU yeyote anapewa kadi?Kaanza kuwa mwanachama siku hiyo hiyo aliyoteuliwa. Kabla hakuwa mwanachama wa chama chochote.
Jibu hilo hapo
Kama alichukua kabla ya mkutano utamuonaje? Au ulitaka press conference iwepo wakati anachukuaKtika mikutano ile ukiona MTU yeyote anapewa kadi?
Kwahiyo katiba na ccm nani anamuongoza mwenzake mkuu? Na kulikuwa na haja gani kufanya marekebisho ya katiba kuzuia wanajeshi kuwa wanachama wa vyama vya siasa huku chama kimoja kikiwatumia kujipatia ushawishi?Nimegundua si kosa lako, tatizo lako unataka kuonyesha wana JF kuwa unajua lakini hujui chochote. Acha tukukumbushe-wakati tukiwa na chama kimoja asilmia kubwa ya wafanya kazi wote na wafanyabiashara walikuwa wanachama wa ccm, majeshi yote walikuwa wanachama wa ccm na siasa ilifundishwa hadi majeshini, na ndo maana tokea nyakati hizo wanajeshi waliteuliwa katika nyadhifa mbalimbali mfano-Mh. Jakaya Kikwete, Mh.Kinana na wengine wengi-si ajabu hicho kinachofanyika
Ndugu, ukweli ni kuwa tusijaribu kufukia vichwa vyetu kwenye mchanga tukidhani adui atapita. Kupuuzia mambo makuu ya kikatiba ambayo ndiyo roho ya demokrasia ya nchi ni sawa na kuitafutia nchi janga lisilotabirika.Wewe uliyeona ukweli au kujua jeshi la tanzania linachezewa umechukua hatua gani?
Ungeshirikisha ubongo wako na ungejua jibu la swali ulilouliza hapo kwa kufanya udadisi sidhani kama ungekuwa unapost huu utumbo humu ndani.
Ndugu, ukweli ni kuwa tusijaribu kufukia vichwa vyetu kwenye mchanga tukidhani adui atapita. Kupuuzia mambo makuu ya kikatiba ambayo ndiyo roho ya demokrasia ya nchi ni sawa na kuitafutia nchi janga lisilotabirika.
Labda! Kumbe unabahatisha! Tukubali tu kuna kitu hakika sawa bila kwasababu yeye ni raisi basi ameamua kutofwata katibaKama alichukua kabla ya mkutano utamuonaje? Au ulitaka press conference iwepo wakati anachukua
Labda! Kumbe unabahatisha! Tukubali tu kuna kitu hakika sawa bila kwasababu yeye ni raisi basi ameamua kutofwata katiba
Kwakuwa Lowasa alijiunga na chadema moja kwa zote na ndio imekuwa sawa kumchukua aliye juwa msemaji wa JWTZ kuwa mseamaji wa chama cha Lumumba?????????????Lowasa walipomchukua CHADEMA walimjua siku nyingi? Mbona aliingia tu na kupewa ugombea uraisi wakati hajawahi kuwa kiongozi wa tawi la chadema
mwanachama wa muda mrefu maanake nini?Swali ni kuhusu uteuzi bro, kwa sababu mtu hawezi kuteuliwa tena kwenye nafasi kama ya msemaji kama sio mwanachama wa muda mrefu
alipostaafu jeshi,**** jingine?Akikujibu niPm