Hapana,huyu ni Lumumba damu!Huyu ni kama Ruttashobolwa ,alishahama kambi kitambo!Lumumba task force yote iko kazini kupambana na Lissu!Huyo ni mtu wenu wa ufipa pale kwenye jengo la baba mkwe!
jibu swali mkuu mbona rahisi tuTundu Lisu kesi ngapi ambazo aliwahi kuzitetea zikaleta tija kwa Taifa. tundu ni Shetani.
Sent using Jamii Forums mobile app
sijataja mtu jina.. uhakika upo mkuu
magifool ndo rais wetu kwani? rais wetu anaitwa magufuli sio magifool! sijamkosea heshima hata kidogo erooo
Unataka kutuaminisha nini??
Nmpongeza Lissu kwa kutupa ukweli kuhusu mali yetu! dawa ya deni kulipa!Ukiangalia tamko la Lissu alilotoa majuzi, utajua yeye ana ndimi mbili. Moja ni mbinafsi na pili ni mroho.
Ubinafsi: Anataka aonekane kama yeye ndo chama na chama ni yeye. Kwa mjibu wa Katiba ya CHADEMA kuna wasemaji wakuu wawili; Katibu Mkuu na Msemaji wa Chama. Kama hawapo, manaibu wao wanasimama. Ukiangalia sana utatambua kuwa Lissu hafuati hayo ili ndani ya chama asimame kama yeye.
Uroho: Ijapokuwa dhamira ya CHADEMA imekuwa nzuri kwa miaka mingi, ila kwa sasa inaongozwa na uroho wa madaraka. Wanataka hata leo waingie madarakani wapige mambo yao hata kama si kwa matakwa ya wananchi. Hii ni hatari sana. Lissu ndio kiongozi wa hili. Ukiangalia viongozi wengine wamekuwa si watu wa kusema kwa kejeli hata kama wameumizwa.
Haya yanaoendelea yanahitaji watu wa kuyasema na kuonya juu yake. Ukiwa na dhamira bora kuna siku utapata tu. Sisi wananchi tunaona.
Ila hatatokea kwa bahati mbaya, zaidi ya kusema steling imekatika. Gari linajiendea lenyewe na kila mtu anatafuta pa kutokea.
hahahahahah....Wewe CCM ya CHADEMA Yanakuhusu nini????Ubinafsi: Anataka aonekane kama yeye ndo chama na chama ni yeye. Kwa mjibu wa Katiba ya CHADEMA kuna wasemaji wakuu wawili; Katibu Mkuu na Msemaji wa Chama. Kama hawapo, manaibu wao wanasimama. Ukiangalia sana utatambua kuwa Lissu hafuati hayo ili ndani ya chama asimame kama yeye.
hahahahha...frustrations zako tu..poleUroho: Ijapokuwa dhamira ya CHADEMA imekuwa nzuri kwa miaka mingi, ila kwa sasa inaongozwa na uroho wa madaraka. Wanataka hata leo waingie madarakani wapige mambo yao hata kama si kwa matakwa ya wananchi. Hii ni hatari sana. Lissu ndio kiongozi wa hili. Ukiangalia viongozi wengine wamekuwa si watu wa kusema kwa kejeli hata kama wameumizwa.
Haya yanaoendelea yanahitaji watu wa kuyasema na kuonya juu yake. Ukiwa na dhamira bora kuna siku utapata tu. Sisi wananchi tunaona.
Ila hatatokea kwa bahati mbaya, zaidi ya kusema steling imekatika. Gari linajiendea lenyewe na kila mtu anatafuta pa kutokea.
Nmpongeza Lissu kwa kutupa ukweli kuhusu mali yetu! dawa ya deni kulipa!
Nampongeza Lissu kwa kutupa ukweli kuhusu mali yetu! dawa ya deni kulipa!Mkuu DJ akiguswa manaonaga kama kaonewa. Hapa si kwamba anamkomoa mtu ila taifa. Na hatari ya akiri za Kilybia hizo.
hahahahahah....Wewe CCM ya CHADEMA Yanakuhusu nini????
hahahahha...frustrations zako tu..pole
hahahahahha...sawa mwanachama Mtiifu wa CCM.....Nakuuliza tena ya CHADEMA yanakuhusu nini?Ninyi mnaojitambulisha kwa vyama ndo mnafanya kazi za kinafiki. Siku ikifika mtageukana tu. Katika usajili huu ndo mwanza wa kuua chama.
View attachment 572254
Acha wivu wa kishamba wewe. Unadhani kumchukia aliyeenda shule ndio kutaondoa UPUMBAVU ulionao? Una mamlaka gani ya kuchana cheti cha mtu aliyezidi 18yrs (coz huwezi pata PhD chini ya umri huo) in the name of MWANAOMi nlishasema kuliko watoto wangu waje kusoma Phd,ntachana vyeti vyao wote wasiwe na sifa kabisa.Bure kabisa hawa Phd Holder wa hii nchi.
Huu sasa ni utapiamlo wa akili. Hivi unadhani hiyo Ms. ni elimu ya kawaida sana eeh, kwamba PhD ndio ina thamani zaidi. Jamani kichwa kina kazi nyingi, co tu kubeba macho yakusaidie kuona unapovuka barabaraHivi Tundu Lissu mwisho wake ni Masters tu!!! Watu wanaposema msomi, msomi nilifikili alishapata na PhD! Ala kumbe! Oh Poor Tundu Lissu - Msomi (Masters)! Akipata PhD si tutakwisha.
Acha wivu wa kishamba wewe. Unadhani kumchukia aliyeenda shule ndio kutaondoa UPUMBAVU ulionao? Una mamlaka gani ya kuchana cheti cha mtu aliyezidi 18yrs (coz huwezi pata PhD chini ya umri huo) in the name of MWANAO
Huu sasa ni utapiamlo wa akili. Hivi unadhani hiyo Ms. ni elimu ya kawaida sana eeh, kwamba PhD ndio ina thamani zaidi. Jamani kichwa kina kazi nyingi, co tu kubeba macho yakusaidie kuona unapovuka barabara
Nadhani ungekuwa wewe ndio Lissu, or ni baba/kaka yako halafu unaona mtu anatumia maneno magumu kama ulivyofanya sijui ungejisikiaje. Ushabiki wa kisiasa usitufanye tuanze kuwavua nguo wanasiasa wa TZ. Kumbuka kuna maisha nje ya siasa. Think (twice) b4 u do!Lissu ni tundu la choo ya shimo ya stand. ******, mpumbavu, kichaa, mkuda, tahla, fala
Sent using Jamii Forums mobile app
Siwezi kulumbana nawe coz hizo posts zako 2 zimeshaniambia nazungumza na mtu wa namna gani. TchaoMkuu kwenye akili yako kuna chochote kweli?Nani amesema anamchukia aliye na elimu?Na wewe kwanza unajua elimu yangu?Ilo povu lako kalowekee nguo za Bashite.Phd ina manufaa gani kama wenye nazo ndo hao hawajielewi.