Mr. Bigman
JF-Expert Member
- May 7, 2011
- 2,560
- 1,303
Tatizo ni aliye vunja mkataba unaotuletea hasara nae ni mwanasiasa .Mbona sirikali inaweweseka hivi!!!!
Inashindwa nini kuwashughulikia kisheria hao wanasiasa. Kama tuliowapa mamlaka wanalalamika, sisi tufanyeje!!!?
Tuna Rais wa ajabu haijawahi kutokea,narudia tena tuna Raid wa ajabu haijawahi kutokea by Tundu LissuNdio maana mkulu anaogopa mikutano ya siasa na bunge live ukiwa na akili timamu huyu jamaa ni wa hovyo aibu lipeni madeni acheni visingizio
Sent using Jamii Forums mobile app
Dah inauma
Zitto Kabwe asipewe kick yeyote hapa. Mwezi uliopita tuluambiwa nini hapa. Alimuunga mkono Sizonje kule Kigoma
Andaa mkojo wa kutosha bro [emoji22][emoji22]Kwa sababu hizi tunakuwa tunaclear doubt kwamba kuna viongozi hawana vyeti na PhD ya huyu msukuma ina walakini!!
Sent using Jamii Forums mobile app
We VP? Kwani ni uongo hatudaiwi?????Haya ndio tumekuwa tukiyasema kila siku....Hawa wapinzani wa nchi hii wakae wakijua hawamkomoi MAGUFULI bali wanatukomoa sisi WATANZANIA
Nonsense.Mchakato umeingiliwa Na lissu Na umeingiliwa kisiasa. Lissu Na baadhi ya watu wa mataifa wasioipendea mema Tanzania,
Na mtatiro kaa chonjo habari tunazo
Samaki Hawajalipwa na Bila kusahau ATC ilibidi hizi ndege ziandikishwe kama Mali ya serikali ili kukwepa deni la ATC .kumbe nitumeruka jivu tukakanyaga motoHivi deni la samaki wa Magufuli limeisha tusijeagiza mv bagamoyo mpya hela ikabebwa tena
Leteni Bombardier hapa, povu LA nini?Tundu lisu ni yuda Iskarioti
Wangekaa kimya kama vile hawapo.Swali, hawa wanasiasa wasingeibuka na kuhoji suala hili ninyi kama serikali Leo mngejitokeza kutupasha taarifa ya kukamatwa kwa ndege?
Hii yote inatokana kuwa na viongozi wakurupukaji, wasiopenda kufuata taratibu.Nyie watanzania yani baba yako akinyanganywa shamba ama nyumba kisa anadaiwa watoto mtafurahia. Kizazi cha nyoka hiki-wicked society.
Je hamjui ya kwamba hizo pesa mtazilipa ninyi wana nchi kwa kupitia kodi zaidi? Je hamjui ninyi ndo mtaathirika zaidi na mfumko wa bei kwasababu dola zaenda nje? Mnafikiri serikali ama waziri ama rais ataathirika kwa lolote? Watu hawa wanaangamia kwa kukosa maarifa, iliwapasa kuhuzunika na kusikitika.
Umesahau kumalizia :Siyo la Kifamilia 'Any decision you make in life you are responsible for it'Mchakato umeingiliwa na wanasiasa? What nonsense is this!? Yaani walitaka haya mambo yawe siri na hizo jitihada za kidiplomasia ziishie Nchi kuchomolewa bilions za kutosha kimyakimya? Nchi inaongozwa na "wapumbavu" kwelikweli.
Mwanzo wa yote haya ni mwanasiasa uchwara mmoja kujifanya yeye ndo kidume na kuingilia mikataba ya watu bila kutumia hekima, busara, sheria na taratibu. Anapaswa akumbushwe haya mambo na sio kuhamisha goal posts.