Msemaji wa Serikali akiri ndege mpya ya Bombardier Q 400-Dash 8 kushikiliwa nchini Canada. Awatupia lawama wanasiasa...

Haya mambo yatakwisha tu habari wao walivyoitoa ni kama kumkomesha mkuu wa nchi ,lakin wao wenyewe hawana machungu na nchi na hao walio ndani ya serikali amabao wanavyujisha habari nao sio kabisa,haya ni makosa yaliyofanyika miaka saba iliyopita.
 
NAFIKIRI WANASEMWA JK TEAM aka BENARD M...Coz aliwahi
 
Mbona hamujasema Kama ndege ilikamatwa??
Mpaka lissu aseme??
Mkamateni bas mkampime mkojo tena
 
Mimi wasiwasi wangu hiyo ni mwanzo tu,kama wameshaona wanaweza kushika ndege hiyo,
hawa makampuni mengine yanaweza kufuata utaratibu huo na dreamliner yetu ikanaswa huko majuu

..siyo mara ya kwanza kwa mali za Tz kushililiwa nje kutokana na madeni.

..wakati wa Mwalimu meli ya Tz ilikamatwa na watu waliokuwa wakiidai serikali.

..lakini pia suala hili ni la kujitakia wenyewe. Hukumu imetolewa tangu 2010 kwanini mpaka 2017 bado hatujalipa.

..Serikali ingeonyesha ushirikiano AIBU hii isingetufika. Pia tungeweza kuepuka RIBA tunayotozwa kila mwaka.

..Huu ni UZEMBE wa hali juu.
 
Reactions: BAK
Wakuu How do you feel unapoiona Bendera yenye Rangi Nzuri ikishindwa kwa Kuhujumiwa.unafaidika nini Tanzania Ikishindwa?

View attachment 570234



Huwa sishangai Vitendo kama Hivi Ndo Husababisha Mi6, Israel Mosads, CIA, kupoteza Watu.
Usilete vitisho vyako hapa, unamtisha nani sasa na hao ma-mosads wako, kwani wanaoihujumu nchi ni nani? Si ni hao hao viongozi waliopo madarakani wanapokwenda kusign mikataba mibovu na kufanya mambo kwa papara na kukurupuka kwa kutafuta kick za kijinga na mwisho wake ndo mambo kama haya yanatokea...? Sasa mambo yakiharibika watu wasiseme na wananchi wasifahamishwe hayo madudu yanavofanywa serikalini? Poor you.
 
wicked ni yule ambaye anaumizwa mwenyewe na anafurahia hayo maumivu kwa shangwe.

God is just wondering with a such kind of Government, wafanye makosa wao then they start to blame others. the Devil is influencing them
 
Mie niliangalia vile vilio vya wakina mama wajane pale Kimara walioishi maeneo yale kisheria zaidi ya miaka 40 na wengine kule Tabora Tambukareli vikongwe kabisa wakibomolewa vijumba vyao eti sheria imebadilika nikajua vilio vile haviwezi kuacha utawala huu salama. Huwezi mbomolea mama mjane hata kama ni kuleta maendeleo huku unacheka kwa furaha kama vile yule sio kiumbe wa Mungu! Na Mungu huyo akakuacha salama.
Mikosi hii itaendelea hadi utawala utakapo fitinika kwa machozi yale, hivi hamjifunzi kwa JK wakati mwingine alikuwa anamwambia huyuhuyu tingatinga kuwa "taratibu bwana, sheria zipo tuu na uanadamu nao upo. Hapo acha!"
Ila sasa hivi kuleta maumivu kwa wengine nikama fashion na hilo linaleta mikosi kwa utawala bila kujua
 
Maswali mepesi sana hayo! sasa hilo swali LA 3 si akawatafute hao vijana awaulize? anatarajia Z Kawawa amjibu? huyu mchaga vp
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…