MENGELENI KWETU
JF-Expert Member
- May 8, 2013
- 9,557
- 24,182
Acha kutishia watu hapa sijui CIA et al "ndio maana hupoteza watu kwasababu watu kukosa Uzalendo..."Wakuu How do you feel unapoiona Bendera yenye Rangi Nzuri ikishindwa kwa Kuhujumiwa.unafaidika nini Tanzania Ikishindwa?
View attachment 570234
Huwa sishangai Vitendo kama Hivi Ndo Husababisha Mi6, Israel Mosads, CIA, kupoteza Watu.
Kwa nini kilimtekenya lissu aseme? Jibu ni 'kiki'
Serikali imejibu kwa nini wakasubilia lissu aseme? Jibu 'kuweka yale ya nyuma ya panzia bayana'
Hapa tunaona viongozi kiki na viongozi makini
Sio kila jambo ukiwa na familia ni radhima ujadiliane na watoto, mengine huwa ni baba na mama tu
Shida watanzania wengi hasa upande ule ni wachovu wa kufikiri ndo maana akisema fulani basi ndo every things
Sent using Jamii Forums mobile app
Ficha ujinga wako tafadhali!Wewe ndiyo maana maana mfumuko wa bei utaenda juu na utalipa kodi zaidi hata ukifanya biashara hela itapungua. endelea kufurahia na hao traitor wenzako. Unafikiri hapo unaimaliza serikali, ulichoenda kusomea huko shuleni ndo hicho?
God is just wondering with a such kind of Government, wafanye makosa wao then they start to blame others. the Devil is influencing them
Wewe ni mpumbavu wa kiwango cha lami!!Mchakato umeingiliwa Na lissu Na umeingiliwa kisiasa.
Ni waziri wa ujenzi eeeh?Wakubali waziri alikurupuka..
Ficha ujinga wako tafadhali!
..siyo mara ya kwanza kwa mali za Tz kushililiwa nje kutokana na madeni.
..wakati wa Mwalimu meli ya Tz ilikamatwa na watu waliokuwa wakiidai serikali.
..lakini pia suala hili ni la kujitakia wenyewe. Hukumu imetolewa tangu 2010 kwanini mpaka 2017 bado hatujalipa.
..Serikali ingeonyesha ushirikiano AIBU hii isingetufika. Pia tungeweza kuepuka RIBA tunayotozwa kila mwaka.
..Huu ni UZEMBE wa hali juu.
Mtu ayaseme atakavyo lakini msemaji wa mkoloni karl Peters wa leo dawa yake kuuawa. Ukumbuke kuwa ukoloni ilikuwa mikataba ya kisheria. Walikutana Berlin ujerumani wakagawana afrika kisheria kuitengua ilihitaji wanasheria lakini wapigania uhuru wakasema To hell with Your international colonization laws hatuitambui na hatusikilizi ushauri WA Lisu kibaraka mtetea wakoloni kuwa tatizo ni mikataba aliyosaini kiongozi wenu chifu mangungo karl Peters yuko Right!!!!!! Nyerere angechukua ushauri WA wakili bwe. GE. Kama lisu hadi leo nchi ingekuwa haijapata uhuru. Kwenye madini tuwe tuliibiwa legally or whatever tunataka chetu. We are at war. Yeyote anayesimama na Carl Peters serikali Kill him
Is finding what went wrong your party's currently priority ? Or searching for the wizard and trying to figure who laughs and who doesn't.Why CHADEMA are parting? Is it laughable?
Hoja makini. Sitegemei wazalendo wa Lumumba kusogelea hapaJana nilimsikia wakili na mbunge Tundu Lissu akiongea na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam na kusema ana taarifa kutoka kwenye vyanzo vyake serikali vilivyomwambia kuwa ndege ya serikali aina ya Bombadier imekamatwa na kutishia kupigwa mnada!.
Kauli ya Lissu iliibua mjadala mkali kwenye mitandao ya kijamii,katika pita pita zangu mtandani nikakuta "Conversation" kati ya Zitto Kabwe na Waziri mwenye dhamana Prof Mbarawa,kwenye maelezo yake Prof alisema si kweli kuwa ndege imekamatwa na hakuna mgogoro bali kuna mambo madogo madogo yanakamilishwa kati ya serikali ya kampuni ndiyo maana ndege imechelewa na kuja na itakuja siku si nyingi.
Asubuhi ya leo,idara ya maelezo ambayo ndiyo mdomo wa serikali imezungumza na waandishi wa habari kupitia naibu Mkurugenzi wake mkuu Zamaradi Kawawa na kujibu kuwa ni kweli kuna kesi ya msingi iliyosababisha ndege hiyo kuzuiwa huku akiwatuhumu baadhi ya wanasiasa kuwa wapo nyuma ya kesi hiyo.
Zamaradi amedai kesi hiyo imesababishwa na baadhi ya wanasiasa ila ameshindwa kuwataja majina na kusema tayari serikali imechukua hatua za kisheria na kidiplomasia kumaliza kesi hiyo!.
My take.
Serikali ilikuwa inamsubiri Lissu aseme ndiyo nayo ijitokeze kumjibu?Rais aliahidi ndege kuwa ingewasili mwezi July mwaka huu,mwezi umekwisha ndege haijaja.
Kulikuwa na ugumu gani kwa serikali kulisemea hili mapema kuliko kumsubiri Lissu aiseme ndiyo ijitokeze kujibu,Je Lissu angekaa kimya serikali nayo ingekaa kimya?
Matokeo yake,majibu ya wizara husika kutoka kwa waziri husika na yale ya idara ya habari maelezo yanatofautiana,wananchi washike lipi?
Serikali imetoa maelezo ya kulaumu zaidi bila kuuambia umma,hiyo kesi inahusu nini? na kama kweli kuna wanasiasa wapo nyuma ya kesi hiyo,kuna ugumu gani kuwataja?
Siku zote ukweli utakuweka huru.
Kitu siyo uzalendo, kitu nikuwa traitors. Aliyewaambia hawa wazungu ni akili za mwafrika kabisa kachongea. Mzungu akikaa miaka 2 ana rwite off deni, bad debt anaachana nalo. Ila hii mbinu ya kufufua makaburi ya miaka 10 iliyopita ni mzungu kashawishiwa na akili za kiafrika, wicked one.
Hopeless!Nilishasema kuwa vichwa vinavyotumika kubeba nywele ni ngumu sana kumuelewa Lissu.
Huwa nawaambia, huyu bwana siyo kwamba anapinga hatua za kujinasua kutoka kwa wezi wa raslimali zetu bali anachokipinga ni mchakato unaotumika.
Alishasema kuwa lazima kujitoa kwanza kwenye hii mikataba na nchi mbalimbali, watu hawakumuelewa!! Matokeo yake ndo haya!!!