Msemaji wa Serikali akiri ndege mpya ya Bombardier Q 400-Dash 8 kushikiliwa nchini Canada. Awatupia lawama wanasiasa...

Kwani kilichotokea ni aibu?

..OK.

..labda nimetumia neno kali kidogo.

..how about kilichotokea ni USUMBUFU?

..Kwa maoni yangu serikali ingetoa ushirikiano tangu 2010 hukumu ilipotolewa, tusingefika hapa ambapo mali zetu zinashikiliwa.

..
 
Hahaha just hahaha

New Swag In Down town

Sent From My Nokia Ya Tochi
 

sawa ila deni utalipa tu na kodi inakutaiti serikali na utalipa uwe unataka ama hutaki kama kawaida, na mchongeani zaidi maisha yawe mazuri.

hizi akili zilizotumika hapa mmechongeana wenyewe kwa mzungu, na mtaendelea kuchongeana ili maisha yenu yawe magumu zaidi ndo furaha zaidi.
 
Wewe una muuliza nani na wewe ni NANI?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Haya ndio tumekuwa tukiyasema kila siku....Hawa wapinzani wa nchi hii wakae wakijua hawamkomoi MAGUFULI bali wanatukomoa sisi WATANZANIA
Hapa wapinzani wanahusikaje sasa? Hapa twaweza wanahusika
Kumbe ukisema ukweli unaikomoa nchi vipi yule jamaa anaesemaga yeye ni msema kweli na ni mpenzi wa mungu?
Kwa hapa Lissu ndiye msema kweli na ndiyeatakaye kuja kuiokoa nchi hii

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimesoma andiko lako mpaka machozi yanataka kunitoka.Ila Mungu yuko
 
Time will tell
 
Imebidi ni ku - quote tu japo maelezo yako ni mengi sana!

Nani kakataa kuwa Tundu Lisu sio mwanasheria!? Fine, mwanasheria ana haki ya kumtetea yeyote ndio, ni lini hao wa Canada wameomba uwakili wake!? Kwa kesi ipi!? Na wakili anatafutwa na mteja au anatafuta mteja!

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Kwaiyo serikali ilijoficha kulipa deni mzee au nn tunalipa wote na wakina sethi waachwe tuendelee kulipa kama ivo mana ndo mmeamua naona
 
Haya ndio tumekuwa tukiyasema kila siku....Hawa wapinzani wa nchi hii wakae wakijua hawamkomoi MAGUFULI bali wanatukomoa sisi WATANZANIA
Mnaona jinsi gani bado tuna safari ndefu?
Badala ya kuangalia wapi tulipojikwaa tukaanguka, tunaanza kugeuka kulia na kushoto kuona ni nani alituona wakati tunaanguka ili tumlaumu.
Very pathetic...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…