Ndumbayeye
JF-Expert Member
- Jan 31, 2009
- 7,420
- 4,034
we jamaa hueleweki unachoandika hebu vuta pumzi uje kivingine baadae kidogo!Wewe ndo huyo uliyemtaja, wewe huwezi jua mtu analipwa kama wewe hulipwi. Bottom line, ufurahie usifurahie wewe ndo utalipa hilo deni, mwenzako kishavuta mrungula.
bora ilivyopotea yenyew bila watanzania kuwemo ndani yake, maana ingeleta msiba wa taifa!
Mwengine kashakamatwa huko kwa kufanya siasa nje ya jimbo lake, hii miaka mitano hii wanasiasa kazi wanayo.Halafu anatokea mtu anagomea watu kufanya siasa kwani anajua wanasiasa wakiongea wataweka mambo hadharani. Hapa ndio naona jinsi Tundu Lisu alivyomzalendo kwa nchi yake na sio kujipendekeza kwa rais.
Hahahaha.... Just that!Aisee huyu mtu si mzima kichwani. Sidhani kama hili ni jambo la kuchekesha..
Sio Tundu.ni Zito ' ie alianza kuulizia. Tundu akadandia gari kwa mbele. Hata hivyo mi nashangaa, issue za ndege zinashungulikiwa na serikali ndio ambayo iliamua inunue ndege.. bila kuhusisha manyang'au mengine. sielewi kwa nini wengine wanavalia bango mambo ambayo hata hayakuwahi kuwepo akilini mwao. Kiukweli akili zao zilikua ni kuchukua mafisadi, kuyasafisha na kuyasukumia mbele yagombee eti hata urais.. akilini mwao kulikuwa na sera za kutetea wafanyabiashara wakwepa kodi.. na wengine walikua wamelenga kuua ajenda za ufisadi.. hayo yoooooote yamewashinda yamedandia hii biashara.. hapo ndio utakapoona mapungufu ya sera kichwani yanavyoleta shida kwa sasaAsante sana Tundu Lissu..
Bila wewe hii habari muhimu ya kodi za watanzania isingetolewa..
Mungu Akulinde Mh Lissu.
Nimeuliza unamzungumzia Tundu huyu aliekuwa akituaminisha LOWASA ni fisadiiii. Na baadae akala matapishi yake mwenyewe au yupiiiHahaha mpk Tundu aseme ndo wanajibu? Before 2020 yako mengi yatajitokeza. Thanx to tundu
Sent using Jamii Forums mobile app
Sielewi umeandika vitu gani hapa!Ni upumbavu wa "my government, right or wrong" huu pamoja na uzalendo uchwara.
Mzalendo hasa anatakiwa kuinanga serikali yake ikikosea ili kuinusuru nchi yake.
Sasa kuna watu wengi hapa hata hawajui kutofautisha serikali na nchi, wanaona serikali ni nchi na nchi ni serikali.
Wanaona kwamba ukiisema vibaya serikali, umeisema vibaya nchi.
Mark Twain aliandika "Patriotism is supporting your country all the time and supporting your government when it deserves it".
Sasa naona watu wengi wanachanganya "country" na "government" wanaona ni kitu kimoja.
Muda mwingine iache akili ifanye kazi yake, sio makalio. Stu.pidSio Tundu.ni Zito ' ie alianza kuulizia. Tundu akadandia gari kwa mbele. Hata hivyo mi nashangaa, issue za ndege zinashungulikiwa na serikali ndio ambayo iliamua inunue ndege.. bila kuhusisha manyang'au mengine. sielewi kwa nini wengine wanavalia bango mambo ambayo hata hayakuwahi kuwepo akilini mwao. Kiukweli akili zao zilikua ni kuchukua mafisadi, kuyasafisha na kuyasukumia mbele yagombee eti hata urais.. akilini mwao kulikuwa na sera za kutetea wafanyabiashara wakwepa kodi.. na wengine walikua wamelenga kuua ajenda za ufisadi.. hayo yoooooote yamewashinda yamedandia hii biashara.. hapo ndio utakapoona mapungufu ya sera kichwani yanavyoleta shida kwa sasa
Dawa ya deni kulipa lakini lazima tumwambie aliyesababisha deni NEXT TIME aache kufanya maamuzi ya kukurupuka.
PATHETIC INDEED,Hao wanasiasa ndio walinyang'anya tender kinyemela?!
Hao wasioitakia mema nchi hii ndio mahakama iliyotoa huo uamuzi?
Mahakama iliyotoa huo uamuzi haitambuliki katika mkataba tuliosaini wenyewe na mkandarasi/mdeni wetu tukiwa na akili timamu?
Nani amesema mkilipa deni la watu hiyo ndege haiji?
Mbona mnataka kutufanya nchi nzima mabashite?
Alafu mbona mliukuwa mnafanya siri?!
Nyinyi mlioamu kufanya siri kwa walipa kodi na alieamua kuwaeleza ukweli walipa kodi,ni nani mzalendo?
Anaetuambia kila siku msema kweli ni mpezni wa Mungu ni nani kama sio boss wake?
Pathetic!!
Kishavuta chake lazima acheke. Wengine watanzania mkabwe kodi kufidia hilo deni, hajalishi wewe unafurahia hapo kodi lazima ulipe ili walipe hilo deni.
Unashangaa wananchi wanapohoji habari zinazohusu matumizi ya fedha zao za kodi?Sio Tundu.ni Zito ' ie alianza kuulizia. Tundu akadandia gari kwa mbele. Hata hivyo mi nashangaa, issue za ndege zinashungulikiwa na serikali ndio ambayo iliamua inunue ndege.. bila kuhusisha manyang'au mengine. sielewi kwa nini wengine wanavalia bango mambo ambayo hata hayakuwahi kuwepo akilini mwao. Kiukweli akili zao zilikua ni kuchukua mafisadi, kuyasafisha na kuyasukumia mbele yagombee eti hata urais.. akilini mwao kulikuwa na sera za kutetea wafanyabiashara wakwepa kodi.. na wengine walikua wamelenga kuua ajenda za ufisadi.. hayo yoooooote yamewashinda yamedandia hii biashara.. hapo ndio utakapoona mapungufu ya sera kichwani yanavyoleta shida kwa sasa
Kucheka Lazima maana hiki ni KitukoNdugu zangu tunafurahia lipi hapa!! Kuzuiliwa kwa bombadier?! Aibu kwetu! Bado tunahitaji miongo kadhaa kujitambua!! Mungu Ibariki Tanzania, Mungu ibariki Afrika!!!!
Ni sahihi kuota ndoto za mchana za dua hasi, japo matunda ya utawala wa sasa ni kwa Watanzania wote.CCM walishakata tamaa na serikali yao kabisa.
Ndio huyu ambaye alikuwa akiliaminisha Taifa kuwa Lowasa ni fisadi papa na hawezi kusafishika milele..au yupiii wajameni tupeni majibu. Tundu huyu aliekua akisema Barrick hawatakaa na serikali na kuzungumza, wataipeleka mojakwamoja mahakamani. Au yupiii