Msemaji wa Serikali akiri ndege mpya ya Bombardier Q 400-Dash 8 kushikiliwa nchini Canada. Awatupia lawama wanasiasa...

Huyu mtoto Mtundu Antiokia Jisu ni mhaini. Tena ni gaidi kabisa anyongwe tu.
Wakunyongwa ni yule nyampara mwenye kichwa kilichogawanyika kama kiazi Cha Tabora!

Pogba wa tz nchi imekushinda!
 
Nuance. Does anyone understand this word?

Sent from my Kimulimuli
 
Wapi kuna jazba!? Weka ushahidi wa mimi kumlamba miguu fisadi badala ya kutaka kujibaraguza.
Nimekutaja wapi? Ujue katika watu ambao ninawaheshimu misimamo yao ni wewe ,japo tuna maoni tofauti, hadi mi follower wako,

Nimeuliza swali zwazwa ni Nani Kati ya anaye sema Leo huyu fisadi Na kesho anamnadi? Au nawe ulimnadi?
 
Weka siasa pembeni. Mtu yyte anayesaliti nchi yake na kushabikia makampuni ya nje,huyo ni msaliti na adhabu yake inafahamika.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ha ha wauaji kwa visingizio vya kunyamazisha watu wamepigwa made hadi Koufax akin a chachesko marcos waliuliwa mwambie huyo muuaji wenu hata pona ukiwemo wewe
 
Aisee
 
Nimekutaja wapi? Ujue katika watu ambao ninawaheshimu misimamo yao ni wewe ,japo tuna maoni tofauti, hadi mi follower wako,

Nimeuliza swali zwazwa ni Nani Kati ya anaye sema Leo huyu fisadi Na kesho anamnadi? Au nawe ulimnadi?
Fisadi Magufuli mbona munamwabudu kaitia hasara nchi Leo na akina Doto james wanachezea fedha ya umma
 
hili genge la wahuni ni hatari kwa maendeleo ya taifa ndo maana korea hawana mzaha na watu wa aina hii

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Stupid defence. Hatuwezi kufanya ujinga unaotugharim kisha badae tukaanza kutafuta cheap scapegoats.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hakika samweli toka jana unaandika nyuzi za kutishia uhai wa TL ikitokea jambololote limempata utakuwa wakwanza kuwajibika ne naapa nitakusaka hadi kwenye korido za. Magogoni endelea blaza mipango yenu itawaghalimu

Sent using Jamii Forums mobile app
Hapo juu katajwa mtu kwani, au mi ndo sijauelewa Uzi? Naurudia tena
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…