Msemaji wa Serikali akiri ndege mpya ya Bombardier Q 400-Dash 8 kushikiliwa nchini Canada. Awatupia lawama wanasiasa...

Mkuu samahani Kuna swali hata moja wamekujibu?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sensa inaonyesha chama kinakubalika na Watu Tusiosoma, Lakini sasa wewe Msemaji unataka utuamuashe hata sisi Mazuzu, Yaani Mkataba wavunje Serikali yako, Kushitakiwa Mshitakiwe Na Kampuni ya Canada, Ila Mgogoro Uletwe na Lissu Na Zitto! Aaaahhh Hata kama Unatetea Ugali Wako Lakini Andika vitu ambavyo Vinameki sensi hata Kidogo basi Mzee. Doh This Country iz Finished Kwa Kweli, Tujiandae tu kisaikolojia Bandugu. Send By Zwazwa Aliyeamshwa Na Msemaji.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahahahah Nacheka kwa dharau maana hawa jamaa ni wajanja kinomA hawakutaka kuzuia zile bombardier wamesubiria kitu cha Boeing dream liner[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hao unaowaita watekaji wameteka kisheria. Pili kama ndege siyo yako kwa nn uhangaike nao, si ukawadai bombadier kwa kuchelewesha ndege ambayo unaikana?
 
Amani ya nchi ikivurugika wasaliti watakimbilia kwa waliowatuma wewe mleta mada uliyepo hukio nakapanya utakimbilia wapi.

Kuweni makini na wanasiasa wasio na misimamo kama hao watetezi wa accacia.
 
Bavicha mnatapatapa tu. Kimsingi,awamu hii hamna agenda yyte ya kitaifa,mmebaki kupiga porojo tu. Mkulu kadhibiti rushwa na uporaji wa mali za umma,madawa ya kulevya,uzembe kazini,kafufua Atcl,ujangili nk. Na bado,mtazidi kuisoma namba.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe ni mjinga kweli. Kama UKUTA yenu ilifeli,usipoteze muda wako kuwaza maandamano.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Kama kuna athali kubwa ya upole wa JK ambayo sasa ni dhahili inalitafuna taifa ni kulea mafisadi wa namna ya ukurupukaji wa maamuzi ambayo baadaye unakuja kuwa mzigo. Watu kama hawa walitakiwa kuwajibishwa mara moja. Hivi sasa nchi inahangaika kuteka maji na kujazo kwenye sanzo!!
 
Mkuu ukifikiria kwa makini saa zingine utaweza amua nyamaza kimya bila kuchangia chochote maana sidhani kama hawa kina Mpenda Zoe na wenzake wamekosa ufahamu kiasi hicho!Hawa wameshaona kuzikana akili na nafsi zao na hata watanzania ndio zitakazo wapa ulaji kwa siasa za nchi yetu.Ni wasaka tonge tu hawa.Kwani nani asiyemhuja huyu na kile chama chake cha CCJ!baada ya kugonga mwamba,sasa anatafuta namna yoyote arudiswe kundini.
Lakini wajue tu iko siku na imeshafika watanzania kumfahamu mtetezi wao wa kweli iwe ndani ya upinzani au sisiemu.Watanzania hawatakuwa wajinga milelel kama wanavyotufikirisha.
 
Hata manabii walifanyakazi yao kutokana na fani zao lakini wengi waliuwa kwa kuwa na msimamo na anachokiamini. Hiyo ni professional ya Lissu na nitaaluma yake, Hata wewe unaemtukana unayonafasi ya kumshauri unavyojua wewe.

Tutende haki mliomtukana Lissu mkamwombe msamaha kwa sababu hajawahi kuongelea uchochoroni anaongea wazi na anashauri wazi kosa lake Nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…