Msemaji wa Serikali akiri ndege mpya ya Bombardier Q 400-Dash 8 kushikiliwa nchini Canada. Awatupia lawama wanasiasa...

Zamaradi Zamaradi schoolmate wangu kweli 'wanasiasa ndio sababu???' Upinzani unawasaidia kuwapa mawazo ninyi mmewageuza kuwa maadui haya sasa mtanyooshea watu vidole vitatu kati ya tano vinawageukia ninyi. Mjipange upya hili la kwanza more to come
Kwenye uzi naona wametajwa WANASIASA, sijaona mahali walipotajwa WAPINZANI, but naona hoja zote zinaelekezwa huko? Yu mkini hao wanasiasa wanatokea Makinikia humo humo, so tusiwe wepesi wa kupindisha mada na kuhukumu. Napita tu
 
Hili neno la Msema kweli ni Mpenzi wa Mungu sikuhizi Linatumika Vibaya Na viongozi wetu wa juu Hawa ishi kwa neno hili
 
Amani ya nchi ikivurugika wasaliti watakimbilia kwa waliowatuma wewe mleta mada uliyepo hukio nakapanya utakimbilia wapi.

Kuweni makini na wanasiasa wasio na misimamo kama hao watetezi wa accacia.
Amani ya nchi itavurugika kwa kuwa wawazi?
Kwa kuusema ukweli?
Kwa kutetea maslahi ya Taifa dhidi ya Propaganda za wanaojifanya wao ndio wenye nchi?
Watakaovuruga Amani ya nchi ni wale wanaolitia Hasara Taifa kila kukicha kwa Maamuzi yasiyofuata Sheria hata kama maamuzi hayo ni Mazuri na muhimu kiasi gani! Sheria zipo, kwa nini zisifuatwe? Mnapokuwa mmeingia mikataba Huwa mnatumia Akili au Makalio? Kama Makalio Basi vumilieni yachomwe Sindano ndio namna pekee ya kuutibu huu Ugonjwa! Ifike mahali tumwambie Mfalme hii ni nyeusi na sii blue kama anavyoiona kutokana na Tatizo la colour blindness alilonalo!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aliyetuhabarisha anakosa gani?
Lisu anamamlaka gani ya kishawishi ndege ishikiliwe?Yule mama amejiaibisha na ameivua nguo serikali
 
Wanaokubali waseme ndiyoooooooooooooooo,,,,na meza wagongeeeeee

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…