Msemaji wa Serikali akiri ndege mpya ya Bombardier Q 400-Dash 8 kushikiliwa nchini Canada. Awatupia lawama wanasiasa...

Mkuu utawaweza Lumumba sasa, yaani wao wakishaona ugali waongee nini tena?

Sent From Kisana Kiki Iphone
 
Hela za akina bibi wanavijiji wanazokatwa kwa nguvu na vitisho kwenye 500 za vocha zinaenda kulipia maamuzi ya kukurupuka. Hivi ni haki?? Laana ya Mwenye Enzi yote imwangukie mtu yule anayewatesa na kuwagandamiza wasioweza kujitetea huku akiwahadaa kuwa ndiye mtetezi wao. Mungu hadhihakiwi wala kuhadaiwa kwa kulitaja jina lake kila mara.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
...sasa kwenye hili la ndege msema kweli aliye mpenzi wa Mungu ni nani kama si Lissu?...nani hapa mwongo na mnafiki?..aliyekaa kimya ili umma usijue jinsi fedha zinavyoliwa kijinga ama aliyeamua kuuambia umma ukweli wa mambo??...haya mambo yanayofanuwa sirini na utawala huu yanazidi kuwatia laana....na mipango yao mingi itakwama...
 
Vituko serious? Yaan yote anayowafanyia magufuli leo unadiriki kuandika hvo..nakumbuka kipind cha JK mliongea mengi kaja Mh magufuli kayatendea kazi leo mnakuja kuandika haya watanzania sijui mpewe nn

Sent using Jamii Forums mobile app
Matarajio ya Watanzania ilikuwa tupate kiongozi aliye bora kuliko JK lakini tukaangukia tulipo leo, hata wengi kuona kuwa ni aheri ya yule ambaye awali tulidhania hatufai. We have moved from bad to worse.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Amani ya nchi ikivurugika wasaliti watakimbilia kwa waliowatuma wewe mleta mada uliyepo hukio nakapanya utakimbilia wapi.

Kuweni makini na wanasiasa wasio na misimamo kama hao watetezi wa accacia.
Amani ya nchi...ha ha ha...just ha ha ha! Madudu yakishafanyika AMANI inakuwa mtaji kitisho.

Kama ni amani nafikiri ilishatoweka, tunaishi hatujui kesho tutaamka na amri ipi. Au msukule wewe hujasikia kuwa this time Community Shield itashuhudiwa na watazamaji wenye kiu? Marufuku kuingia uwanjani na kimiminika...Tanzania hiyo
 
Serikali kudaiwa sio siri,but lazima kuna good intentions. Naamini nothing is fishy ila tu serikali inakuwa too over confident.....anyway time will tell.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni wayforward gani anayotoa Lisu zaidi ya upotoshaji na uchochezi? Ndege itakuja tu na mbinu za Lisu na wenzake kamwe hazitafanikiwa, siku zote Shetani mwisho wako nikushindwa, eti Lisu yuko very clear, Lisu angekuwa Clear angesema Mwl.Nyerere Baba wa Taifa hili kwamba eti alizoea vya kunyonga? Lisu angemshambulia Lowasa kwa miaka 8 nakumdhalilisha kuwa Fisadi? Lisu ndani ya siku 7 angeweza kubadili kauli yake baada ya kupewa mgao wa fedha haramu ya Fisadi Lowasa toka bil.12 ambazo alipewa mgao na Mbowe na Lisu akawa kimya nakulazimika kumsifu Lowasa? Lisu angekuwa clear angesema upuuzi kwamba eti Jamhuri ya Muungano wa Tanzania haina Hati ya Muungano ? Na baada ya kuoneshwa akajawa na aibu? Huyu ndiyo mtu clear ? Huyu ni Shetani tu, ni mlamba matako ya wazungu na wote wenye fedha ni msaka tonge. Tundu Lisu anafaa kufungwa jiwe kubwa shingoni na kutupwa Ziwani au baharini tena katikati. Na ukimuona mtu yeyote anamtetea Lisu ujue mtu huyo aidha anatabia za kishetani, au ni Li-Chadema, au Elimu yake na ustaarabu wake ni poor, au hajitambui, au alilelewa vibaya na wazazi/walezi wake, au hana dini au imani yeyote, au ni Nyumbu, au anaroho ya Kishetani. Mtu huyu kwa hakika anahitaji Maombezi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Niliwahi kaa mahali nikawaambia watu anae kupigia makofi leo ndio atakae kuzomea kesho kuna watu kila wanacho kifanya huishia kushindwa tulianza na wachina na samaki tutamaliza na mchanga wa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama unajua si wataje haraf tukupe sabb za kuwa hapo walipo

Sent using Jamii Forums mobile app
Acha longo longo mkuu...usipende sana chama ni aibu kwa mtu mzima kama wew...kua na mawazo mgando...mtukufu ataki guswa...kila kitu now kinaelekezwa kwao chato...sehemu nyingine akuna# apo anauzalendo gani...mabashite wengi..ni aibu mtu anatembea na pesa kwenh gari anagawa kama maharage ya misaada.# uku watu wanalia na gharama za maisha kupanda juu# sukari kutoka 800- 3000 kilo ndo uzalendo uo# acha unafiki we nae tunajua mmetumwa kumsafisha ila ukweli utabaki pale pale kua amekosea

Sent using Jamii Forums mobile app
 
JPM anaweza kuwa na nia ya kweli ya kulisogeza mbele taifa ila game plan anayotumia ni weak, anashambulia zaidi bila kujilinda, hapo lazima ukae tu kama Arsenal. Benchi la ufundi hasa kwenye section ya sheria ni weak.
Benchi la ufundi la upande wa wanasheria siyo weak Bali hataki kulisikiliza.......

Yeye anajiona anajua each and everything .......

Refer ile kauli yake aliyoitoa siku za nyuma kuwa I WISH I COULD BE IGP!
 
Crap. Hata kuandika katika mtiririko mzuri inaonekana ni tatizo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapa naanza kupata picha kumbe Tundu Lisu ni wa kimataifa kama ana uwezo wa kuzuia mali za serikali na kuilazimisha ilipe madeni ya watu. Hii nimenukuu kwa Zamaradi Kawawa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…