MALIGANYA MALIMBE
JF-Expert Member
- Jun 14, 2015
- 280
- 206
Ni kweli mkuu,Labda wapangue kiudaktari....yaani 2x2=4 lakini kwa daktari ukijaribu hivyo...unakufa......Lissu Anazo GB 2 wakati wanalumumba wana MB 1 HADI 100Unapanguaje wakati 1+1=2 , hapo unapanguaje fact kama hiyo ya natural mathematics and not matrimonial. Facts za Lisu ziko hivyo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Tafakari kwa kina yawezekana Mimi na wewe ndo mbwa wenyewe "tunaoswongomela" mahitaji ya "watoto".Sijamlenga mtu.Ila kwa staili na namna yotote ile ukishindwa kujali ustawi wa watanzania wenzio na Taifa kwa ujumla wake basi huna tofauti na mbwa wanaopewa tafakari katika mada hii.
Ndio waliosababisha hiyo fidia tunayotakiwa kulipa?Ukawa madivision zero
Koma, tena ukome kutumia mifano ya kitabu kitakatifu na upuuzi wenu wa kinafiki. Mnafiki mkubwa wewe! Mfano wako na siasa zenu za kinafiki pelekeni huko mlikozoea kujipendekeza siyo kwa kitabu cha Mungu. Tumieni vitabu vyenu mnavyo vingi tu. Mna katiba ya chama, mna Ilani ya chama, mna ahadi za nini sijui, tumieni hizo acheni kuunganisha ukristo na maovu yenu. Mnabariki maovu kwa maandiko?? Mkome!
ACHA nikae KIMYA...!
Je mzalendo ni nani, anayehubiri kwenye mimbari za siasa kuwa ni mzarendo ilihali ndio chanzo cha tatizo au mzalendo ni yule aliyetoa tahadhari kabla ya hatari itakayotukumba iwapo tukiamua kuilamba sumu? Hakika kila ndimi itanena kabla jogoo hajapanua taya zake.Tatizo letu liko kutanguliza mahitaji yetu pekee huku ya Taifa tukiweka pembeni.Hizi fidia zisingekuja ikiwa watu wetu wa sheria wangezingatia zaidi maslahi ya watoto.I-wazi kuwa baadgi ya watu walihakikishiwa chao ili "mbwa" wazoe chakula yetu.Hilo la Makanikia kufunguliwa shauri ni kutaka kwenda katika mkondo ule ule: ku-compromise watakaoenda huko kwenye usuluhishi ili Serikali ionekane haikufuata taratibu.
Lakini ni huyuhuyu lissu aliyeandaa list of shame aliyompa Dr Slaa aitangaze pale mwembeyanga, na ni Lissu huyuhuyu aliyekuwa mstari wa mbele pale Bahari beach hotel ktk hafla ya kumpokea Lowasa tena akipiga vigeregere vya shangwe. Sasa sijajua ni ukweli gani huo anaousimamia?!!!MKUU, MTU ANAYEONGEA UKWELI NI NGUMU SANA KUPAMBANA NAYE KWA PROPAGANDA.
MTU ANAYEONGEA UKWELI HUJIBIWA KWA HOJA ZENYE UKWELI..
NA UKIMJBU KWA KUTUMIA UKWELI UNAWEZA KUJIKUTA UNAICHAFUA TASWIRA YA CHAMA CHAKO, SASA HAPO KITAKACHOFATA UNAKIJUA
Mkuu unawezaje kulinganisha kichuguu na mlima?Tulia Akson si mwanasheria? amjibu Lissu.
Ukiondoa tabia ya ulalamishi, Tundu ana uwezo wa wastani tu!
Lakini ni huyuhuyu lissu aliyeandaa list of shame aliyompa Dr Slaa aitangaze pale mwembeyanga, na ni Lissu huyuhuyu aliyekuwa mstari wa mbele pale Bahari beach hotel ktk hafla ya kumpokea Lowasa tena akipiga vigeregere vya shangwe. Sasa sijajua ni ukweli gani huo anaousimamia?!!!MKUU, MTU ANAYEONGEA UKWELI NI NGUMU SANA KUPAMBANA NAYE KWA PROPAGANDA.
MTU ANAYEONGEA UKWELI HUJIBIWA KWA HOJA ZENYE UKWELI..
NA UKIMJBU KWA KUTUMIA UKWELI UNAWEZA KUJIKUTA UNAICHAFUA TASWIRA YA CHAMA CHAKO, SASA HAPO KITAKACHOFATA UNAKIJUA
Yote ni miinukoMkuu unawezaje kulinganisha kichuguu na mlima?
Huyo jamaa ilifaa apelekwe makumbushoLakini Mkuu kuna mtu kama Humphrey Polepole..
A purely comedian anakuwa Muenezi wa Chama.
Umefeli jumlaYote ni miinuko
wakitoka huko akiLi zitarudimbona ccm wapo waatalam wa sheria... Chenge, Nimrod...
What if walikuwa wanataka kukata rufaa, ndio maana hawajawalipa.
Mungu akusamehe kwa kutumia maandiko yake kufanya propaganda potofu namna hiyo. Ningekushauri tuu kabla hujaingia kutupia mzigo wa lawama kuhusu issue ya ndege fuatilia kwa makini sana historia ya jambo hilo kabla hujahukumu hao "mbwa"
I guess wapo ila siasa nyepesi zinazofanywa na Magufuli na kundi lake zàweza kuwa zimefanyà wakae pembeniWakati fulani hapa chamani tulikuwa na watu waliojulikana kama wanasheria wa chama na ninamkumbuka mmoja akiitwa Kunambi. Lakini zama hizi sijajua kama bado tunao wanasheria wa chama, ila ningeomba tupate mtu mwenye uwezo wa kujibu na kujenga hoja zitokanazo na changamoto mbalimbali. Haiwezekani leo hii Lissu au Zitto wanaibuka na hoja nyepesi zenye majibu ya kawaida lakini sisi kama chama tunabaki kimya. Leo hii Lissu anawaaminisha watanzania kwamba serikali ikiingia mkataba ni mwiko kuhoji au kuuvunja kwa sababu nchi itashtakiwa, na sisi CCM tumebaki kimya tukumbuke kuwa Lissu ni mwanasiasa na anaongea mambo yote kupitia chama chake chadema, hivyo anapaswa kujibiwa kisiasa na chama kilichounda serikali yaani CCM. Ahsante!