Tusimamie kweli na kUmeharibu mada yako kwa kuchanganya Dini na Siasa.
Weka kitu kimoja kimoja ili ueleweke.
DINI
Hilo andiko (Mathayo 15:21-28) ulilolitumia naona umelitumia vibaya ili kupotosha mambo hapa JF.
Tafsiri sahihi kuu ni moja tu katika hilo andiko, MUNGU hana ubaguzi, hata kama hukustahili baraka zake, lakini ukimpendezesha kwa imani basi atakufikia na kukusaidia. Imani ndio njia ya kukufanya ukastahili hata kama hukustahili hapo awali.
SIASA.
Tanzania tunadaiwa, tulikosea kwenye kufanya maamuzi yetu, tusiendelee tena kukosea, tulipe deni. Dawa ya deni ni kulipa tu. Tukiendelea kukwepa kulipa tutaendelea kuvuna aibu milele.
Asante kwa watu wote waliotufungua macho na masikio ya kuyajua hayo madeni makubwa yanayofanywa kuwa siri wakati tunaolipa ni sisi watanzania.
Hapo hakuna cha uzalendo, tulipe deni ili tuwe huru.
Mungu akusamehe kwa kutumia maandiko yake kufanya propaganda potofu namna hiyo. Ningekushauri tuu kabla hujaingia kutupia mzigo wa lawama kuhusu issue ya ndege fuatilia kwa makini sana historia ya jambo hilo kabla hujahukumu hao "mbwa"
Lissu amesahau hata mawaziri wa Ujenzi/ miundombinu walikuwa nani na nani wakati wa JK, ndiyo wa kumuamini huyu?!!!Nadhani uko sahihi ni vyema kuwa na watu kwenye uwezo ndani ya CCM kumjibu LISU wa TLS na CDM. Lakini ndugu yangu tatizo hapa ni hoja..kuna hoja za kisiasa kuweza kujibu Hao watu tunao watafuta ndani ya CCM. Ila kujibu FACTS kunataka hadhari ya hali ya Juu sana. Mfano huyu bhana LISU ameongea kitu kilicho na ukweli lakini hakikutakiwa kuongelewa hadharani. Hapo msemaji wa Chama hawezi kumjibu. Ingekuwa accusations tu hata Mimi ningekuwa size ya Lisu. Lakini facts ngumu kudeal nayo. Ingefaa kukaa kimya isiwe sawa na kukimbizana na kichaa. Kwa hili LISU kawahi tumvizie wakati mwingine
Hile ni kampuni ya ujenzi, hawapori chochote.
Mkuu mbona hapa logiç ni ndogo tu.yeye alitekeleza wajibu wake kwa kupiga kelele za mwizi,mwizi ila jukumu la kukamata na kushitaki nilà serikali,sasà sijui kama umewahi kujiuliza why Lowassa hashitakiwi pamoja nà mawaziri na ràis kwa nyakati tofauti kukiri kuwa lowassa ñi fisadi,so kutumia mwizi kukamata mwizi kwa wenye akili ni jambo la kawaidaLakini ni huyuhuyu lissu aliyeandaa list of shame aliyompa Dr Slaa aitangaze pale mwembeyanga, na ni Lissu huyuhuyu aliyekuwa mstari wa mbele pale Bahari beach hotel ktk hafla ya kumpokea Lowasa tena akipiga vigeregere vya shangwe. Sasa sijajua ni ukweli gani huo anaousimamia?!!!
Jitahidi na wewe uwe wa wastani ili umma na mataifa yakutambue, kuliko kupambana na hali ya kutafuta watu wakufanana na Lissu kutoka ccm.Ukiondoa tabia ya ulalamishi, Tundu ana uwezo wa wastani tu!
Polepole siyo mwanasheria hoja nyingine zinahitaji ubobezi mfano ile ya makinikia!Kwani Pole pole kapotelea wapi ?
Hata mimi ktk fani yangu ni wa wastani bado sijabobea!Jitahidi na wewe uwe wa wastani ili umma na mataifa yakutambue, kuliko kupambana na hali ya kutafuta watu wakufanana na Lissu kutoka ccm.
"PAMBANA NA HALI YAKO"
Sasa alivyojifanya kimbelembele alitarajia nini ?Polepole siyo mwanasheria hoja nyingine zinahitaji ubobezi mfano ile ya makinikia!