Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 52,828
- 165,667
Je mzalendo ni nani, anayehubiri kwenye mimbari za siasa kuwa ni mzarendo ilihali ndio chanzo cha tatizo au mzalendo ni yule aliyetoa tahadhari kabla ya hatari itakayotukumba iwapo tukiamua kuilamba sumu? Hakika kila ndimi itanena kabla jogoo hajapanua taya zake.
"PAMBANA NA HALI YAKO"
Nasema kuwa Tundu Lissu asiombe radhi.
Wakati rufaa iliyokatwa na serikali ikitolewa hukumu dhidi ya kampuni ya ujenzi tuliyovunja kandarasi yao, nani alikuwa waziri wa ujenzi?
Kifupi Kawambwa baada ya kuvunja ule mkataba serikali iliposhindwa kesi kwenye mahakama ya ICSID ilikata rufaa na hukumu ikatolewa kuwa tumeshindwa.
Hukumu hiyo ilitolewa wakati Rais John Pombe Magufuli akiwa tayari waziri wa ujenzi, je anayestahili kubeba jukumu hilo ni Kawambwa?
Tusipende kutafuta siasa nyepesi kwenye mambo mazito!
Nahisi ni fake maana nalo limepotea/limeondolewa ghafla toka kwenye uzi wake.Hilo tamko naona ni feki
Uharo huuUharo huu
Kwa hiyo ni za ukweli?...Watumishi wa umma wanaofanya kazi ya kutoa taarifa za serikali watafutwe na kutumbuliwa kwa wakati.
Dah , msumari umepenya mpaka kwenye mfupaLissu is a stupid loudmouth.
Hakuna mambo ya vyama hapa....watanzania kwa ujumla wetu tuna matatizo ya kuiangamiza nchi toka Uhuru.Tumefika hapa kwa upuuzi wa Chama cha makinikia (CCM). Hawa ndio chanzo cha matatizo yote haya, tusitake kulaumu watu wasiohusika.
Siasa basi