Kapewa siku saba na serikali lakini huu uzi umefutwa hapa chap chap.Lissu is a stupid loudmouth.
Yote hufanyika tu, vile mwenye mbwa yu mpumbavu, katika kundi wa wajinga, vile aliamua kupuuza kila kitu mpaka maonyo, na kuona anaweza kummudu mbwa ili hali uwezo huo hakuwa nao. Kwahali hii lazima uonekane kituko kama sio kichekesho kwa watoto.
"PAMBANA NA HALI YAKO"
Huyo Padri wako kwa hiyo tafsiri yake sio Kweli, Kutafakari biblia yahitaji roho wa Kweli akae nawe, kwa tafsiri hiyo kondoo mnazidi kupotea, Usitafsri biblia kama Biology au Hesabu imekula kwenu, Rudi tena soma vizuri utaelewa au nitakushushia nondo za tafsiri toka kwa wataalamu wa maandiko neno Mbwa lilivyotumika siyo Mbwa unayemjua wewe
Mmeanza kubadiri hoja tatizo lenu hamtumii akiri mlizopewa na Mungu mmeacha ubongo wenu umetuma kama dimbwi la maji machafu kisa kumtegemea Tundu Lisu afikiri kwa niaba yenu sasa mnavuna aibu tupu tundu lisu atakuja kuwapeleka shimoni tumieni bongo zenu vima nyie !Nasema kuwa Tundu Lissu asiombe radhi.
Wakati rufaa iliyokatwa na serikali ikitolewa hukumu dhidi ya kampuni ya ujenzi tuliyovunja kandarasi yao, nani alikuwa waziri wa ujenzi?
Kifupi Kawambwa baada ya kuvunja ule mkataba serikali iliposhindwa kesi kwenye mahakama ya ICSID ilikata rufaa na hukumu ikatolewa kuwa tumeshindwa.
Hukumu hiyo ilitolewa wakati Rais John Pombe Magufuli akiwa tayari waziri wa ujenzi, je anayestahili kubeba jukumu hilo ni Kawambwa?
Tusipende kutafuta siasa nyepesi kwenye mambo mazito!
Mkuu hawa watu sijui walilogwa au ni umbumbumbu. TL anatumika how? Kama sio TL wananchi wangejua lililopo mbele ya uso wetu. Hivi nani huwa anawatuma kuandika upuuzi huu. ccm safari hii mmeumbuka ombeni msaada wa kisheria yasiibuke mengine.Weka huo ushahidi tuuone acha kutuletea hisa zako
Siku 7 za kwenda wapi nchi si ya baba yenu hii wezi wote lazima waumbuliweKapewa siku saba na serikali lakini huu uzi umefutwa hapa chap chap.
Kama kutumika KUNALIPA, na wee katumike..Ni dhahiri ya kwamba huyo mtu TL anatumika na makampuni yanayonufaika sana kwa wizi warasilimali zetu, na baadhi ya watumishi wa umma na baadhi ya wana ccm kuichafua,kuipinga na kuidhoofisha SERIKALI YA SASA YA CCM. Nina ushahidi wa kutosha juu hujuma hii. Ambaye ataona nimevunja haki yake anipeleke mahakamani.
TL anafanya kazi hii kwa malipo,siyo bure. CCM wanawafahamu hao WASALITI. Iwaanike hadharani na kuwatimu. We cant let things go wrogly like that.Watumishi wa umma wanaofanya kazi ya kutoa taarifa za serikali watafutwe na kutumbuliwa kwa wakati.
Kweli kabsaaa.Kaitia hasara nchi kwa kiwango kikubwa mno.Kwa siku mbili matamko mawili tofauti toka serikali moja.MmmhLissu is a stupid loudmouth.
Huyo Padri wako kwa hiyo tafsiri yake sio Kweli, Kutafakari biblia yahitaji roho wa Kweli akae nawe, kwa tafsiri hiyo kondoo mnazidi kupotea, Usitafsri biblia kama Biology au Hesabu imekula kwenu, Rudi tena soma vizuri utaelewa au nitakushushia nondo za tafsiri toka kwa wataalamu wa maandiko neno Mbwa lilivyotumika siyo Mbwa unayemjua wewe
Naona unachanganya mambo, labda utusaidie kama wewe ndio ungeteuliwa kuwa Waziri wa ujenzi wakati ule badala ya Magufuli na kuikuta kesi iko mahakamani ktk hatua za mwisho, je ungefanya nini?!!!!Nasema kuwa Tundu Lissu asiombe radhi.