Dah! Chief umenikumbusha mbali sana hii clip.
Lakini hayati mwalimu hakuwa akisema ukiwa mpinzani basi uwe unatumia vigezo visivyo sahihi, unatakiwa kujipanga katika kumdhibiti kiongozi na kwa mtindo wa wapinzani wa kwetu wanakosea sana.
Inabidi wajipange upya ni mtindo tu wa uwasilishaji mada si vinginevyo, wakitoka kwenye hili basi wataonekana wamekomaa.
Umeongea ukweli mtupu....Tanzania Ni Nchi Ya Ajabu Sana Siku Zote Taifa Hili Wananchi Wake Hupenda Kudanganywa Akitokea Msema Ukweli Huchukiwa Sana Mfano Mdogo Kafulila, Hivi Ile Hasara Ni Pesa Za Nani Zinalipwa? Ccm Wanajivunia Wapumbavu Wa Taifa Hili Taifa Linaendelea Kupata Hasara Mmoja Anashawish Watu Waone Hasara Kwa Taifa Ni Jambo La Kawaida Kwa Nini Yanatumbuliwa Majipu? Taifa La Hovyo Sana Makodi Yasiyo Na Vichwa Wala Miguu Kumbe Watu Wanavunja Hovyo Mikataba.
The name is very quoted there for all to see.
Unataka kumaanisha waafrika wakitumia hilo neno baina yao ni sawa siyo?
Nadhani hawataki kusema mfalme yupo uchi.
Hilo tamko naona ni feki kwa asilimia 95 na linaweza kuwa la kweli kwa asilimia 5.
Kwanza Lissu asingepewa hiyo nafasi ya kuomba radhi bali angekamatwa moja kwa moja na kuwekwa ndani kusubiri case ya defamation.
Si hivyo tu,bali wasingechelewa kukanusha mpaka leo hii na msemaji wa serikali angeeleza jana alipoongelea swala hili.
Hilo tamko limeandaliwa hapo Lumumba na wale wajinga walioandaa lile tangazo fake la mh. Kushinda tuzo kipindi kile.
Imani hizi ndizo zilzolifikisha taifa hili kwenye anguko tulionalo sasa kwa kutuaminisha kuwa tawala na wateule tulionao ni chaguo la Mungu! Sikushangai kwa kumezeshwa utomvu badala ya asali! Endelea kutupa vifungu ulivyokaririshwa jana na leo.Heri Tumbo la wamama wanaotambua kuwa jinsi waiisivyo wakiwa wajawazito ndivyo na watoto watakaozaliwa watakavyorithi sehemu ya mienendo ya mama zao.
Heri matumbo yanayobeba ujauzito sasa huku yakijipanga namna ya kuja kuhakikisha watoto wao hawavutiwi na ufisadi wa nafsi na akili
..mimi sijali rangi, kabila, jinsia, utaifa, au nafasi ya mtu.
..lugha chafu, matusi, kejeli, havifai kutumiwa na mtu,au dhidi ya mtu, yeyote.
..kwa hiyo namlaani huyo aliyemuita bwana mkubwa jina baya.
..ila sasa nimekueleza kwamba bwana mkubwa naye ana tabia ya kutoa kauli za hovyo-hovyo.
..sasa je wewe ndugu yangu Richard, uko tayari kuzilaani kauli za hovyo-hovyo za bwana mkubwa?
What you just said makes the two of you!Lissu is a stupid loudmouth.
..wanaosambaza habari za UONGO kuitetea SERIKALI ni vijana wa UV-CCM wanafanya hivyo kwa NIA NJEMA.
..wasemaji wa serikali wameshindwa kazi ndiyo maana imelazimisha UV-CCM waingie kazini na kusambaza URONGO.
cc BAK
Noted and edited Mkuu....nothing personal I just wanted to express my opinionsHebu fikiria mtu unamwita raisi wako hilo neno eti kwasabau tu unatumia Kompyuta ukiwa nje ya Tanzania.
Ni hasira gani hiyo uliyo nayo juu ya huyu kiongozi?
Kila binadamu ana mapungufu yake na hata wewe ungekuwa kiongozi leo ni lazima ungekuwa na kasoro zako.
Lakini kwa hii ya name calling umekwenda too much step brother/ sister.
Tafakari.
Wacha kumsifu ujinga huyo kada wa Sisiem anayefanya kazi za kuwaogesha wazungu wazee huko kwenye makazi yao huko majuu......Nice comment, I like it, We jamaa uko vizuri sana upstairs