Msemaji wa Simba SC, Haji Manara amuonya Maulid Kitenge kwa uzushi wake usiovumilika

Aisee mbona nowdays hawa watu maarufu kibao mnasema ni mabwabwa kuna ukweli juu ya hili ndgu zangu?? Kama ni hivo basi hali inatisha sana mana celebrities wengi wa kiume inasemekana ni mabwabwa aisee ni noma.

Ila huyu managha anazingua sana aisee yeye aendelee kuhamasisha timu na kutoa habari za timu izo mambo za kuattack watu moja kwa moja itamletea shida baadae. Mbaya zaidi kama uyo kitenge ni muajiriwa wa wasafi , kumchafua kitenge ni kuichafua brand ya wasafi awe anapima kwanza.

Ila jamaa anaemfukunyua managha ana moyo wa chuma aisee 😂😂
 
Ana wake wangapi
Wawili Mmoja alikuwa Bungeni ( ana Mguu mbovu kidogo ) na mwingine yuko UN ila ayafanyayo Marekani na UAE akienda naomba niyasitiri Kwanza ila asipobadilika tunaomjua Kindakindaki tutaweka sasa Mambo yote hadharani. Ajiulize tu kwanini Yeye na si wengine? Ajitathmini!!!
 
samahan mkuu hilo mwamba ndio jina lake au unampa sifa tu mwambie.kitenge aandike habar zenye uhakika.co ajiandikie tu kwa hiyo kila cku wachezaji wa simba wanapigana na kugombana na makocha alinza kagere kisha boko leo.....
Comment ziwee fupi fupii [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kitenge hawezi acha kuiongolea Simba hivyo...
Angalia na tega Sikio kuanzia Kesho akiwa katika Vipindi vyake kama ataendelea kuwa Mpuuzi na Mzushi tena kwani kuna alichoandaliwa Kabambe cha kumtia Adabu na hatokaa Kuamini kwani kitakuwa ni cha Kumtesa zaidi Kisaikolojia na kinaweza hata Kuhatarisha Utendaji wake hapo alipo sasa au Diamond akasitisha Mkataba nae kwakuwa linaweza Kuathiri hata Media yake hiyo inayokuja kwa Kasi sana na mno Nchini.
 
Ni Mnafiki sana na pia ndiyo Sifa Kuu ya karibia 99.9999% ya Mashoga wote Ulimwenguni.
 
Siku zingine kama ama hujui Jambo au huna uhakika nalo uwe Unauliza au bora ukae tu Kimya kuliko Kukurupuka na Kujichoresha hivi kwa Wanaojua. Haji Manara hajawahi kuwa na Mzozo na Wasafi FM ( hasa Kipindi chao cha Michezo ) kama ulivyozusha hapa ila aliwahi Kuingia katika Mzozo na Watangazaji wa EFM ambapo baadae Manara na Mkuu wa Kipindi cha Michezo cha EFM Ibrahim Masoud 'Maestro' na Msaidizi wake Mtangazaji wa Kike wa Michezo Tunu Hassan Shemkome Kibusara na Kibinadamu waliitana na Kuyamaliza rasmi na sasa wako vizuri wote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…