Msemaji wa Simba SC, Haji Manara amuonya Maulid Kitenge kwa uzushi wake usiovumilika

Msemaji wa Simba SC, Haji Manara amuonya Maulid Kitenge kwa uzushi wake usiovumilika

Ila raha ya ndoa iwe na Uke wenza full kupeana challenge[emoji23], bi mkubwa akinunuliwa prado , bi mdogo wataka Range Rover , sitaki mie warumi

Ila binamu hakuna mwanaume mtamu duniani kama mume wa mtu , wana ka utam flan hiv special na wanajua kuhonga balaa[emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23] wee binamu huogopi waume za watu? Yaan mie nikiona mume wa mtu, hadi napatwa na baridi nikiwaza fumanizi tyuuh.

Ila majizzo anampenda sana B12 yaan, huu ndo upendo wa dhati, hapo ana slay tyuuh na ku enjoy life. Japo inauma.
Sema nae huyu B12 mzembe, ameshindwa hata kulilia ndoa ya siri, apooze mtima wake mweeeh.
 
Hao wote wanaliwa, tatizo ni kuwa kuna m1 hapo kaiba bwana wa mwenzie, hili bifu ni la mda mrefu, sema hawakupata nafasi ya kuonesha bifu lao.
Waleleeeeeeeeeeeeeeh mji mzito huu. Uwiiiiiiiiih
Hata wewe?
 
View attachment 1719211

Huu umbea wa Balgeen Abdul na sakata la hirizi hapa Manara ndo kanidindisha masikio, masikio yamesimama utafikiri zile kofia za Mama Rwakatare[emoji23][emoji23], ila kaniudhi mxieew badala yakutupatia umbea full anatupatia nusu nusu, ananipa assignment nzito wakati Warumi mie siku hizi nimeokoka
Kofia za mama Rwakatare.
 
Manara usipende kugombana waandishi wa habari kila wakati mara Prisca anaihujumu simba nara Dauda anaihujumu simba mara Kitenge una natatizo fani unapenda kumrukia kila mtu Mwakalebela alipowakilisha ujumbe wake kwa Tff kutoka kujitoa mara ukarukia kumjibu Mwakalebela as if wewe ndio msemaji wa Tff hivi hukumbuki ulipojifanya msemaji wa familia ya Mo pale alipotekwa nini kilikupata lazima ujitafakari huwezi kudanganya watu kwamba wewe ndio mkereketwa wa simba kushinda wote nakuhakikisha vita na Kitenge unajisumbua utashindwa na kuabika
Tuliza kishundu wewe
 
Hawa wamechukuliana mabwana sio bure
Ungekuwa mfuatiliaji wa michezo wala usingeshangaa alichofanya Manara kwahiyo si lazima kuwe na motivation behind! Kwanza, Kitenge ana ule uandishi wa uchokonozi. Ingawaje watu wanamtuhumu u-Yanga lakini sie wafuatiliaji tunafahamu ndo staili yake! Nakumbuka miaka kadhaa iliyopita Kitenge aliwahi kushmbuliwa kwa maneno makali live (on air) ama na Mzee Mwanamkatwe au Ndolanga; sikumbuki vizuri!! Sasa tatizo la Manara anajifanya yeye ndo ana uchungu sana na Simba kuliko Dewji aliyeweka pesa yake matokeo yake, akiona watu wanaisema "vibaya" Simba lazima awashambulishie hata kama kinachosemwa ni cha kweli! Sasa kwavile Kitenge ana uandishi wa uchokonozi, na ukichanganya kwamba yeye ni Yanga basi ndo ndo hapo Manara anapokuwa kama Mwajuma Ndala Ndefu! Kuna siku aliwashambulia LIVE Watangazaji wa Wasafi hadi Kawambwa aka-mind vibaya sana baada ya kuwaita wapumbavu! Thanks to Edo Kumwembe akatuliza hali.

Tatizo lingine la Manara ndo ile kujifanya yupo karibu sana na matajiri ndo maana akianza kushambulia waandishi wa Wasafi, lazima amwinginze Diamond.
 
Huu Uzi umetuonesha jambo moja zito , kuwa Manara na Maulidi wote ni mabwabwa , hayo mengine unatutoa kwenye Uhalisia
 
Huu Uzi umetuonesha jambo moja zito , kuwa Manara na Maulidi wote ni mabwabwa , hayo mengine unatutoa kwenye Uhalisia
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ila wewee lol
 
Debe likivuma sana mwishowe hupasuka. Yule Haji anachofanya ni kufanya mambo ya kitaasisi (simba) kuwa na hisia zake binafsi. Yaani ana personalize.
Matokeo yake wajuba wakimpiga za uso yeye binafsi, anakimbilia kujificha kwenye kichaka cha ulemavu wake na kutaka aonewe huruma.
 
Back
Top Bottom