Mshabiki mwezangu wa soka, unamzungumziaje Clotous Chota Chama?

Chama ni fundi wa mpira...itoshe kusema hivyo.
 
Mi huwa muda wote nawaombea Triple C na HD wasiwe wanapata majeraha. Hapo chini kuwe na Cotei na Mkude, hapo kichuya akasome kwanza. Wote wa ball control miguuni, wanajua kudrible Ku assist na kufunga.
Hapo namkumbuka iniesta fundi akiwa na miaka 12 aliulizwa kazi ya kiungo ni nini?
Akajibu mapoja na kufunga pia kuichezesha timu.
 
Chama signed fee $50,000 kwenda Ittihad ya Misri..hata Chirwa kuja Yanga alilipwa $100,000 alafu katimu hako Ittihad toka 2006 hakijacheza CAF Championship ndio mambo ya Himid Mao na Petrol jet...Huyo Chama hata Genk ya Samatta hawezi kucheza ndio itakuwa Barca???
 
Itihad Alexandria sio katimu ni timu ya tatu kwa ukubwa Egypt baada ya National Al ahly na Zamalek.Usimlinganishe Chirwa na Chama. Chama yupo kwenye first eleven ya mojawapo ya timu bora za Afrika. Chipolopolo.
Ni bonge la mchezaji na nadiriki kusema kwenye viungo wote hapa Tanzania kwenye ligi hakuna wa quality yake.Mimi namjua tokea Egypt. Kama huamini subiri utaona shughuli yake
 
Timu kubwa Misri ni Al Ahly,Zamalek na Ismailia...hiyo Ittihad hata premier league ya Misri haijawahi kuchukua...kuhusu Chipolopolo labda hawana watu wa maana ndio anapata namba ..AFCON za mwisho Zambia hawakwenda wachezaji wao wa 2012 wamezeeka
 
Unahitaji msaada. Ngoja nikupe listi ya Chipolopolo.
Goalkeepers Kennedy Mweene-Mamelodi Sundows -South Africa
Toaster Nsabata-Zanaco
Defenders
Solomon Sakala,Fackson Kapumbu -Tesco
Isaac Shamujomba ,Lawrence Chungu-Buildcon
Stopilla Sunzu Fc Metz-France
Kabasi Chongo-TPMazembe
Midfielders
Sinkala-TP Mazembe
Salutani Phiri-Polokwane City-South Africa
Enock Mwepu-RB Salzburg Austria
Lubambo Musonda-Gandazar Armenia
Clatous Chama-Simba Tanzania
Forwards
Mulenga,Justin Shonga-Orlando Pirates -South Africa
Pärson Daka-RB Salzburg-Austria
Fashion Sakala-Öostade Belgium
Ukiwa mojawapo wa wachezaji katika timu kama hii ni lazima uwe mchezaji mzuri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…